Natafuta Gynecologist mzuri

Kabisa mkuu, halafu mwanaume mpaka aende hospital kumwona docta kuhusiana na issue za mambo ya uzazi si zoezi dogo.
Mpk maji yatufike shingoni ndo tunaenda tena hapo tunakuwa wazi hata kuonyesha kengere zetu..
Kila kitu kinakuwa hadharani mambo njenje yote kheri😂
 
Wasalam jf!!

Hospital gani nitapata gynecologist mzuri zaidi?? Na anayepatikana kwa urahisi kidogo (maana wengine mpaka appointment na unaweza kwenda hata mara Tatu usimkute)

Kwa dar/mwanza na dodoma iwe private au government hospital

Shukrani!
Endekeza kunyonywa nyapu yako, mwana kulitafuta
 
Sijui kwa nini sikusomea udaktari wa wanawake raha sana kuwachungulia hawa viumbe wa kike
 
Wasalam jf!!

Hospital gani nitapata gynecologist mzuri zaidi?? Na anayepatikana kwa urahisi kidogo (maana wengine mpaka appointment na unaweza kwenda hata mara Tatu usimkute)

Kwa dar/mwanza na dodoma iwe private au government hospital

Shukrani!
Nenda Msasani Penisula, kwa Dr Shafiq Mohamed 0783 208 774
 
Sijui kwa nini sikusomea udaktari wa wanawake raha sana kuwachungulia hawa viumbe wa kike
Ndugu usione raha kuchungulia tuuu kuna tabu zake....kunazingine chafu na zinatoa harufu mbaya unaweza usitaman ata kula nyama siku hiyo.
 
Dodoma Kuna Gynacologist anasifika Sana ni proffesor Yupo hospital ya DCMC Ntyuka.

Ila mimi.gynacologist alienisaidia Tatizo langu...Anaitwa Pinju yupo ST Camilius na BENJAMINI MKAPA....

Kila la kheri
 
Tatizo la hawa jamaa wakishakuwa maarufu hawakupi muda mwingi wa kukusikiliza.

Kuna wakati unaweza kupata ambaye bado hajawa na jina kubwa na ana wateja wachache akakupa attention nzuri sana.
Aisee kweli kabisa..Kuna doctor nilimpeleka mama Yangu Hapo Dodoma Ni hospital mpya..inaitwa mWangaza Polyclinic
Aiseee hamna wagonjwa wengi...Yule Kaka alituelezea Tatizo ...akalidadafua yaani UNATOKA UMERIDHIKA KABISA...

Hawa madoctor maarufu wanamsururu wa wagonjwa... Kukupa ATTENTION ya Hali ya juu Sio rahisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom