jerryempire atakusaidia kupata, Anza kwa kupita kwenye thread zake. | jerryempireMsaada tutani, Habari, nahitaji kigari Cha biashara (Uber, tax ) kwa bei elekezi tu ya mtanzania, bei 4M-6M likiwa mwanza itapendeza zaidi.
Kama Kuna mwenye nacho au anaefahamu mahali naweza pata nitashukuru
Shukranjerryempire atakusaidia kupata, Anza kwa kupita kwenye thread zake. | jerryempire