Natafuta Gari ya kununua

Natafuta Gari ya kununua

mzizi1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Posts
265
Reaction score
711
Msaada tutani, Habari, nahitaji kigari Cha biashara (Uber, tax ) kwa bei elekezi tu ya mtanzania, bei 4M-6M likiwa mwanza itapendeza zaidi.

Kama Kuna mwenye nacho au anaefahamu mahali naweza pata nitashukuru
 
jerryempire atakusaidia kupata, Anza kwa kupita kwenye thread zake. | jerryempire
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom