Natafuta Gari ya kununua

mzizi1

JF-Expert Member
Oct 9, 2017
255
692
Msaada tutani, Habari, nahitaji kigari Cha biashara (Uber, tax ) kwa bei elekezi tu ya mtanzania, bei 4M-6M likiwa mwanza itapendeza zaidi.

Kama Kuna mwenye nacho au anaefahamu mahali naweza pata nitashukuru
 
Back
Top Bottom