Habarini jf, natafuta fundi au mtu yoyote ambaye anaweza kujua chimbo ya viti vya ukumbini hususani lecture rooms ya idadi ya viti kama 200 kwa 250 seats kwa dizaini ya viti ndo kama hi, naomba fundi mwenye ujuzi kuviweke (fixing) mwenye uzoefu na hiyo kazi pia awe nauwezo wakutofautisha aina na gharama kila dizaini ya viti.