Natafuta fundi mwenye ujuzi (Maintenance Officer)

Ziggler

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
356
1,250
Habari natafuta fundi umeme ila awe mjuzi wa vitu vingine pia kama vile maswala au mifumo ya plumbing, ufundi selemara (kurekebisha vitu kama loki za milango, madirisha ya aluminium).

Awe mwenye uzoefu na magorofa marefu na mifumo yake kama vile mfumo wa maji safi na maji taka na kadhalika.
Awe na lugha nzuri, mchapa kazi, asiwe mgumu kupokea maelekezo.
 
Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
9,618
2,000
Mbona kazi hazina mwingiliano.
Kwa bongo hii ni ngumu sana labda ukutane na mtu aliyefanya kazi na makampuni ya kizungu, hawana mipaka ya kazi
 
Ziggler

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
356
1,250
Mbona kazi hazina mwingiliano.
Kwa bongo hii ni ngumu sana labda ukutane na mtu aliyefanya kazi na makampuni ya kizungu, hawana mipaka ya kazi
Labda ujumbe wangu sijau structure vizuri ila am looking for a jack of all trades. Bongo hii hii wapo, landa hujakutana nao tu.
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
4,034
2,000
Halafu ukishampata huyo mtu utamlipa milioni ngapi mkuu. Hiyo fani inaitwa MEP Engineering kwa bongo wapo wachache sana hiyo staili iko mambele huko kuanzia Dubai na kuendelea.

Na hata hao wataalam wa hiyo fani huwa ni kuanzia rank ya Engineer/Supervisor na sio fundi. Fundi wa hivyo wa kujua fani 5 peke yake hakuna
 
Ziggler

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
356
1,250
Halafu ukishampata huyo mtu utamlipa milioni ngapi mkuu.
Hiyo fani inaitwa MEP Engineering kwa bongo wapo wachache sana hiyo staili iko mambele huko kuanzia Dubai na kuendelea.
Na hata hao wataalam wa hiyo fani huwa ni kuanzia rank ya Engineer/Supervisor na sio fundi.
Fundi wa hivyo wa kujua fani 5 peke yake hakuna
You sound frustrated. Unakwama wapi?
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,052
2,000
Hao watu wapo. cha msingi kama ulivyosema awe ni Fundi umeme awe na Ability ya kazi nyingine Eg. maji, Uashi na Useremala
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
4,034
2,000
Yes as a Facilities Manager/Supervisor you need to have a team of Technicians from various fields and not one technician to do all the jobs,utaharibu kazi kwa ubahili.
Jua unaonge na FM mwenzako ndo maana nakushangaa.
Kwanza facilities management itself hiyo unatakiwa uwe jack of all trade.
 
Ziggler

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
356
1,250
Yes as a Facilities Manager/Supervisor you need to have a team of Technicians from various fields and not one technician to do all the jobs,utaharibu kazi kwa ubahili.
Sio ubahili ni cost effectiveness....na kama atakumbwa na kazi ambazo ni nje ya uwezo wake outside technician huwa wanakua engaged. Kama umesomea na ku practice facilities mgt Cost effectiveness ni muhimu sio tu kuwa na team ya mafund 10 wasio na kazi.
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
4,034
2,000
What I know baadhi ya mafundi huwa wana uwezo wa kufanya kazi 2 au 3 zinazohusiana kutegemea na uzoefu wake but sijawah kuona fundi mmoja akajua fani 5 ambazo hazina uhusiano kabisa.
Yaani fundi umeme huyo huyo awe fundi aluminium,huyo huyo awe fundi plumber,huyo huyo awe carpenter,huyo huyo awe mason ni uongo watakudanganya tu kwamba wanaweza baadae watakupiga sound tu.
Na ukisema unaconsider cost effectiveness,what is more expensive between outsourcing external technicians and to have your own technicians?

Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,239
2,000
Hata Mimi Kama Maintenance Supervisor nakubaliana na mtoa mada. Nina Kijana wangu Fundi Kipaji Haswa. Hakusomea Ufundi but through Apprenticeship Amejijenga Sana Kwenye Fani Zote Tajwa. Hapa hatuna Hela tunamlipa Laki 7 tuu.
 
Mkuu ukiwa na Fundi anayeweza Fani nyingi Kisha uka outsource service kwa zile asizoweza Ni Faida kubwa Kuliko kuwa na Fundi tofauti tofauti kwa kila Fani.
Wote tunajua Ufundi kwa asilimia kubwa Ni kazi inapojitokeza. Sasa ukae mwezi hakuna tatizo la Plumbing.. au kazi ya Mason na Fundi yupo hapo si Gharama?
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
4,034
2,000
Mkuu mimi sijakataa kwamba kuna faida kuwa na fundi anayejua fani nyingi ila ninachokataa mimi ni kuwa na fundi mmoja halafu ajue fani zote(zaidi ya 5)ndio kidogo imenishangaza
Mkuu ukiwa na Fundi anayeweza Fani nyingi Kisha uka outsource service kwa zile asizoweza Ni Faida kubwa Kuliko kuwa na Fundi tofauti tofauti kwa kila Fani.
Wote tunajua Ufundi kwa asilimia kubwa Ni kazi inapojitokeza. Sasa ukae mwezi hakuna tatizo la Plumbing.. au kazi ya Mason na Fundi yupo hapo si Gharama?
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
4,034
2,000
Msaidie jamaa ampate kama huyo wako
Hata Mimi Kama Maintenance Supervisor nakubaliana na mtoa mada. Nina Kijana wangu Fundi Kipaji Haswa. Hakusomea Ufundi but through Apprenticeship Amejijenga Sana Kwenye Fani Zote Tajwa. Hapa hatuna Hela tunamlipa Laki 7 tuu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom