RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 59,524 Reaction score 135,628 Jun 24, 2021 Thread starter #41 epson said: Duh hivi tv za lg zina shida, hii yangu inaonesha half screen. niliwapelekea mafundi kariakoo (LG authorized) wakatengeneza baada ya wiki imeridia hali ile ile Click to expand... Hakikisha unaiwekea TV guard au stabilizer. Umeme ndio unaharibu hizi TV
epson said: Duh hivi tv za lg zina shida, hii yangu inaonesha half screen. niliwapelekea mafundi kariakoo (LG authorized) wakatengeneza baada ya wiki imeridia hali ile ile Click to expand... Hakikisha unaiwekea TV guard au stabilizer. Umeme ndio unaharibu hizi TV
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,193 Reaction score 9,883 Jun 24, 2021 #42 kabingo said: Tatizo ni ile sumaku ya kwenye speaker we chukua sumaku pitisha kwenye TV utaona kitakachotokea. Click to expand... Mbona yangu speakers zipo pembeni na ina zaidi ya miaka 10 lakini haijawai kusumbua.
kabingo said: Tatizo ni ile sumaku ya kwenye speaker we chukua sumaku pitisha kwenye TV utaona kitakachotokea. Click to expand... Mbona yangu speakers zipo pembeni na ina zaidi ya miaka 10 lakini haijawai kusumbua.
Zvi JF-Expert Member Joined Oct 1, 2012 Posts 627 Reaction score 388 Jun 24, 2021 #43 RRONDO said: Hakikisha unaiwekea TV guard au stabilizer. Umeme ndio unaharibu hizi TV Click to expand... Nashukuru kwa ushauri, nakubaliana na wewe sehmu nililpokuwa naishi umeme ulikuwa mdogo na muda mwingi fluctuating, thanks
RRONDO said: Hakikisha unaiwekea TV guard au stabilizer. Umeme ndio unaharibu hizi TV Click to expand... Nashukuru kwa ushauri, nakubaliana na wewe sehmu nililpokuwa naishi umeme ulikuwa mdogo na muda mwingi fluctuating, thanks
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 59,524 Reaction score 135,628 Jun 24, 2021 Thread starter #44 Kitimoto said: Mbona yangu speakers zipo pembeni na ina zaidi ya miaka 10 lakini haijawai kusumbua. Click to expand... Umeme ndio unaharibu hizi TV
Kitimoto said: Mbona yangu speakers zipo pembeni na ina zaidi ya miaka 10 lakini haijawai kusumbua. Click to expand... Umeme ndio unaharibu hizi TV