hakuna njia nyingine kioo ni lazima kibadilishwe, hakuna njia nyingine mkuu.Nimeenda kumuona huyu fundi, kaicheki kasema screen imeshakufa ni ya kubadilisha. Bei ya screen ni nusu ya Tv mpya kwahio naona bora ninunue ingine tu.
ngoja nkushauri kitu..500,000/-
Ok, unaweza kunitajia mitaa yalipo maduka ya vioo vya TV?ngoja nkushauri kitu..
nenda mwenyewe kko, kama uko kwa Makonda...
tafuta kioo mwenyewe halafu mpelekee akufungie na kioo nadhani hakizid hata laki 3, ukienda online utaona dola kinaenda dola 40 tu!
Kwani TV ni aina gani Samsung, Sony, LG ama ipi?Nimeenda kumuona huyu fundi, kaicheki kasema screen imeshakufa ni ya kubadilisha. Bei ya screen ni nusu ya Tv mpya kwahio naona bora ninunue ingine tu.
Mkuu zikiwa kimnya bila ya kuwashwa pia ni shida?.tatizo lako inaoneka ni kwamba spika either za subwoofer au za kawaida umeziweka karibu saana na TV yako, madhara yake ndio huwa haya. Next time, usiweke hizo mambo karibu asee.....!!
kupunguza gharama
Ingawa hio picha sio halisi ila ni kweli iko karibu na speakers. Asante kwa kunielimisha. Swali speaker zinauaje screen? Vibration inaweza kulegeza vitu lakini vinaweza kufungwa tena.tatizo lako inaoneka ni kwamba spika either za subwoofer au za kawaida umeziweka karibu saana na TV yako, madhara yake ndio huwa haya. Next time, usiweke hizo mambo karibu asee.....!!
kupunguza gharama
Ni umbali upi halisi unaotakiwa kuweka kutoka ilipo TV hadi kwenye Subwoofer na Spika?tatizo lako inaoneka ni kwamba spika either za subwoofer au za kawaida umeziweka karibu saana na TV yako, madhara yake ndio huwa haya. Next time, usiweke hizo mambo karibu asee.....!!
kupunguza gharama
Hizo LG zinaonekana kuwa na tatizo hilo kwani Mar 2016 LG yangu ilikuwa ikiweka mistari nikawaleta mafundi kutoka LG Dealers ya Kisutu wakaifungua wakagundua hitilafu lakini siyo Kioo na ikahitajika kupata spare ambayo kwa TZ ilikosekana. Wakaifunga nikawa natumia hivyo hivyo lakini baada ya wiki mbili nikaona inaonesha vizuri mpaka leo hii ila sasa ikawa imejiondoa kwenye mode ya 3D na kuwa ya kawaida.