hahaha yamekua hayo'? Mgeni njoo mwenyeji apone
Hahaha, ndo hvyo si unajua tena, life is like golf. . .(malizia hapo)
Mambo bahaticaro, karibu sana tena umekuja wakati muafaka King'asti ananisumbua sana nataka nimfungishe virago. . .
tena ugonjwa usiotibika, alinitibulia mitambo yangu huyo binti...kumbe FP Ndio ugonjwa wako? Usijali salam zitafika tu
Mambo bahaticaro, karibu sana tena umekuja wakati muafaka King'asti ananisumbua sana nataka nimfungishe virago. . .