Nipo. Level ya grandmaster nafanya mambo.Nne litest zur mkuu. Chagua Czeck tena kun option ya rules mbali mbali
Are you better play Checkers than me?
Checkers - Android Apps on Google Play
Me pia nalishangaa hapo ukiwa unacheza na system ukiitega haitaki kula ila ukitegwa ww kula lazma wapumbavu size ya mwisho wamiliki wakeHaliwezi kukupa option ya kuchagua nchi ya Czech halafu likakuruhusu uchague tena rules!
Hilo la Czech linafanana fanana na la kibongo lakini lina walakini, linalazimisha jinsi ya kula. Kama kuna kete ndogo na kingi zote zina chance ya kula drafti linakulazimisha ule na kingi. Which makes a big, big, difference.
Which ni best unayo sugest?Haliwezi kukupa option ya kuchagua nchi ya Czech halafu likakuruhusu uchague tena rules!
Hilo la Czech linafanana fanana na la kibongo lakini lina walakini, linalazimisha jinsi ya kula. Kama kuna kete ndogo na kingi zote zina chance ya kula drafti linakulazimisha ule na kingi. Which makes a big, big, difference.
Yaah ni kweli kabisa.Unachozungumza hukijui. Hili mimi nacheza kila siku. Linahitaji settings tu na linakuwa kma la bongo
Linaitwaje?Nnalo lile la kirussia unacheza na mdada mkaliiii ukimfunga anavua nguo, akikufunga anavaa
Hozi ni nini?Hilo "Checkers" la kwenye playstore lina settings za kuchagua nchi. Huwezi kujichagulia rules zozote unazotaka, rules ziko pre-determined based on country, na hakuna nchi ambayo ina rules za kibongo.
Unless ume download app nyingine.
Checkers zipo nyingi inategemea umedownload ya nani.Hilo "Checkers" la kwenye playstore lina settings za kuchagua nchi. Huwezi kujichagulia rules zozote unazotaka, rules ziko pre-determined based on country, na hakuna nchi ambayo ina rules za kibongo.
Unless ume download app nyingine.
Kwa kuwa akili yako ndio imewaza hivyo siwezi kukubishia mkuu. Endelea na British mkuu.Wewe hujui draft. La mbele na nyuma ni kijifunza ushoga. Draft la wataalamu ni British. Mbele tu Nyuma mwiko
Which ni best unayo sugest?
Hii link imeeleza vema sana. Drafti ambalo tunafanana nalo sana ni la cheki.Well, hilo linalochezwa Czekoslovakia la kulazimisha kula na kingi sidhani kama liko strategic kama la kwetu.
Tanzanian draughts - Wikipedia
Hii link imeeleza vema sana. Drafti ambalo tunafanana nalo sana ni la cheki.
Wewe nadhani umezoea kucheza rede na dada zako. Unakimbilia mada hujui imeanzia wapi. Hujui kwa nini nimeweka hiyo picha. Unakimbe kama cheza mdako. Haya sasa kacheze estaesta huko nje.Hujui kucheza drought kabisa
Wewe nadhani umezoea kucheza rede na dada zako. Unakimbilia mada hujui imeanzia wapi. Hujui kwa nini nimeweka hiyo picha. Unakimbe kama cheza mdako. Haya sasa kacheze estaesta huko nje.
Kumuelewesha chizi utajipa kazi na kukuta unatandikia watu jamvi.Natamani ningejua id yako kwenye checkers elite tucheze online ili ujue nachezaga rede au rege, mm nimecomment game ambayo umepost picha yake kuwa hujui kucheza maana kete zimekaa hovyo, Endelea kupanic cuz hujui kucheza checkers, jaribu mdako