Natafuta deal ya pesa nyingi

iko dhahabu ya vipande unakuta mwamba umelala njano tupu, na nyingine inakuwa mbolajjah jiwe linazungukwa na vipande vipande vya dhahabu, so inategemea na mgodi kuna migodi haina vipande lazima ufanye leaching ndo uone dhahabu maana iko kwenye mchanga..

Bora waelekeze wewe mkuu wanajifanya wanajua kumbe hakuna wajuacho
 
Unatuambia ulipata dhahabu? Ninavyojua dhahabu sio kama Tanzanite au Rubi au kito cha thamani chochote cha kusema umepata au umeokota. Dhahabu haikotwi. Dhahabu inakuwa extracted kutoka kwenye mwamba au mchanga wenye dhahabu. Dhahabu ni metallic element sio compound.
Hata mi nimeshangaa Kwa kweli labda alichukua huohuo mchanga au mawe akaenda kuchenjua
 
Hapa JF watu mna mizaha kweli,
sasa jamaa kasema anataka mchongo wowote halali au halamu,
cha ajabu watu mnamwambia eti kuna jela, kwani mpaka anasema anataka mchongo halamu hajui kuwa kuna jela? mbona swala la jela ameshaligusia?
au mnadhani yeye atakuwa wa kwanza kwenda huko jela?
si bora yeye ataenda jela kwa kosa alilofanya?
si kuna watu wamepewa kesi za uongo na wanaozea jela?
kwanini yeye asijaribu bahati yake?

mimi nafanya shughuli ambazo zinanipatia hela ya kula na kulipa kodi, lakini muda wote nafikiria sana nianzie wapi ili nipate mchongo wa hela ndefu.
kuna watu wanaona kuua kama inshu kubwa sana, lakini watu tunatofautiana sana, mimi sioni kama kuua ni jambo kubwa kiasi hicho.
isitoshe wakuu umasikini ni mbaya sana, inabidi mtu uupinge kwa nguvu zote, ikiwezekana cheza hata michezo ya kifo.
maisha bila hela ni bure.
mkuu kama ukifanikiwa kupata mchongo naomba unishirikishe. achana na wanaotanguliza mizaha.
Hongera sana una moyo mgumu sana una mtoto mdogo mwenye miaka 1-3, nikupe namna ya kumgeuza zuzu ili mipesa imiminike kwako?
 
Mkuu hivi hii ndio kitu gani?

images - 2022-01-11T134133.814.jpeg
 
Back
Top Bottom