Nakushauri uza figo utapata hela na utakuwa umeokoa maisha ya mwingine. Nenda Muhimbili au Hospitali ya figo Dodoma kuna wagonjwa wengi sana wanao uhitaji wa figo. Utapata fedha kihalali kuliko mawazo mengine ya uhalifu. Kila la heri.Habari za muda huu wana jf.
Mimi ni kijana mtanzania, jinsia yangu ni mwanaume, elimu yangu ni kidato cha sita, umri wangu ni miaka 27.
Nisingependa kuwachosha sana naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika,
Natafuta kazi au deal yeyote halali au haramu kigezo iwe na kipato au ujira mkubwa, hii nadhani inetokana na kuwahi kumiliki pesa nyingi na zikapotea bila kukamilisha mipango na malengo yangu.
Niliwahi kumiliki pesa nyingi kipindi nipo na miaka 21 hadi 24 na pesa hizo nilitafuta mwenyewe sio kwa kurithi, kudhurumu au kuiba.
Najua wengi mtashangaa na mtanishauri nitumie njia ile ile kupata hizo pesa lakini kwa sasa naona itachikua miaka mingi sana au isiwezekane kabisa.
Njia iliyotumika kupata fedha nyingi,
Niliwahi kusoma chuo cha madini hivyo nina uelewa kiasi kuhusiana na madini especially gold, Wakati nipo chuo mwaka wa pili tulipangiwa field, wakati nipo field nikabahatika kupata dhahabu kiasi ambayo niliiuza na kupata fedha nyingi kwangu, ikapelekea chuo sikumaliza ndio maana nasema nina elimu ya kidato cha sita.
Lakini pia njia hii ilikuwa kama bahati kwa upatikanaji wa fedha hizo ndio maana siwezi kuitumia tena kutafuta pesa nyingi.
Mimi binasfi kutokana na uelewa wangu na kutembea kwangu nimegundua, kazi nyingi haramu au deal nyingi haramu zinaingiza pesa nyingi sana. Ukizingatia pia zina risk kubwa pia ni kama third law of motion ya sir Isack Newton (for every action there is equal and opposite reaction)
Lakini kutokana na kutembea kwangu, akili yangu, skills zangu na efforts zangu nimejiandaa kiakili na kisaikolojia kutafuta deal yeyote ya kuingiza pesa nyingi sana kuanzia sasa.
Najua kuna kusalitiana, kuua au kuuliwa, kukamatwa na kupewa adhabu kali au kuhukumiwa kifungo cha maisha, but am ready with all that maana nimeckoka maisha haya.
NB:
Sio mzuri sana kwenye uandishi lakini nadhani nitakuwa nimeeleweka na kama unaswali au ushauri unakaribishwa
(Nawasilisha)
Hauko serious ....nayakutom...a.aisee
Hicho kisiwa kitakuja kuangamizwa tsunami na mambo kama hayo. Ni swala la muda$100 Pampu mbili
Customers
Italians & Philippines
Kadiri unavyopika kisamvu kadiri kinavyoivva
Location Zanzibar
Kuna deal gani mombasa
Ndo hizohizo huunda nyingiAm serious ni ukweli kabisa nilikuwa sikosi hamsini hamsini hizi
Kumbe huyu tushamjua kurombana kumemnogea Sana...atapata hizo hela million mia ataenda nazo lodge maana bank hawezi kuweka SI kafanya uhalifu kuzipata akifika lodge atachukua chura kurombana naye dakika ya mwisho Malaya atajipaka dawa kwenye titi jamaa yenu kulamba chali anasinzia anaibiwa pesa halafu sijui atakuja na thread gani nyingine hapa.[emoji16][emoji16]
"NIOKOENI NATAKA KUJINYONGA"Kumbe huyu tushamjua kurombana kumemnogea Sana...atapata hizo hela million mia ataenda nazo lodge maana bank hawezi kuweka SI kafanya uhalifu kuzipata akifika lodge atachukua chura kurombana naye dakika ya mwisho Malaya atajipaka dawa kwenye titi jamaa yenu kulamba chali anasinzia anaibiwa pesa halafu sijui atakuja na thread gani nyingine hapa.[emoji16][emoji16]
Nakushauri uza figo utapata hela na utakuwa umeokoa maisha ya mwingine. Nenda Muhimbili au Hospitali ya figo Dodoma kuna wagonjwa wengi sana wanao uhitaji wa figo. Utapata fedha kihalali kuliko mawazo mengine ya uhalifu. Kila la heri.
Million 2-7Figo moja sh ngap?
Mkuu mbona unataka kuwa accessory before the fact...., unampa mawazo jamaa ambaye anasema anajua kuna kuua na kuuliwa..., sasa kama figo ni 2M na yeye anaweza akatoa moja na pesa nyingi kwake ni kuanzia 50M Plus huoni hapo unataka aanze biashara za kuvuna figo ?Million 2-7
vp mkuu ulishafanikiwa Ile ishu!??Unaogopa kufa? Wewe wa wapi, kwahio ukifanya kazi halali ya waitor wa bar hautakufa?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hapana ishu sio mtaji ishu ni nia.Wanamitaji mikubwa
Wengine wanajifunza kupitia upotevu wa wengine.Unajenga nyumba juu ya Shamba la dhahabu then unalia umasikiniNdugu naonaga kama unapataga shida sana kuona watu wanataka kupita njia ambayo hutaki wapite, kwenye dunia hii utapata shida sana kwa kuishi namna hio, huwez kulazimisha kila mtu duniani atembee njia unayotaka wewe, naona kama waste of time, halafu pia ni SELFISH BEHAVIOR, na usiniambie kua unawaokoa because you can never save everyone on this earth, njia yako haiwezi kufanana na ya mwingine..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Alaa unahamisha hoja kibabe!Kila mtu atakufa mkuu hata wewe unaefanya ishu halali