Sasa ushaambiwa mtu Ni mwenyeji wa Kilimanjaro hizo Neema za Allah azote wapi? Wale wanaangalia pesa tu Nido maana kataja degree hajataja sura
Natafuta boyfriend aliye serious, awe single, mcheshi, mpole, mstaarabu( asiyependa kujishaua), asiwe na wivu kupindukia, mrefu kiasi( sio saaana), asiwe mnene( awe wa wastani au mwembamba), mweupe au maji ya kunde, Elimu ya Chuo( Degree na kuendelea), awe Mkristo RC, atokee Mikoa ya Mwanza, Arusha au Kilimanjaro (mwenyeji), umri kuanzia miaka 30 hadi 35. Mimi niko single, nina elimu ya Chuo ( Dregree), mrefu wa wastani, niko wastani (si mnene wala si mwembamba), Mkristo RC, mweupe kiasi, mwenyeji wa Kilimanjaro na nina umri wa miaka 28, naishi DSM napenda naye pia awe anaishi DSM. Asanteni!
Ni PM.
NB: Awe Single, mstaarabu (asiyependa kujishaua) na asiwe na wivu kupindukia.

Mpaka 28 huna mpenz ulikuwa wapi... umekulia polini au
kwa tangazo hili tu, wewe ni nung'ayembe na wala huwezi kupata mchumba, utapata watu watakaotaka kukutumia na kukubwagwa kama ulivyobwagwa sana hadi leo unajiuza jf. kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. wachumba wa kuoa hawapatikani jf wanatafutwa kwa kupiga goti kumwomba Mungu, ila wale wa kufanya uasherati na kukubwaga wapo hapa jf.Natafuta boyfriend aliye serious, awe single, mcheshi, mpole, mstaarabu( asiyependa kujishaua), asiwe na wivu kupindukia, mrefu kiasi( sio saaana), asiwe mnene( awe wa wastani au mwembamba), mweupe au maji ya kunde, Elimu ya Chuo( Degree na kuendelea), awe Mkristo RC, atokee Mikoa ya Mwanza, Arusha au Kilimanjaro (mwenyeji), umri kuanzia miaka 30 hadi 35. Mimi niko single, nina elimu ya Chuo ( Dregree), mrefu wa wastani, niko wastani (si mnene wala si mwembamba), Mkristo RC, mweupe kiasi, mwenyeji wa Kilimanjaro na nina umri wa miaka 28, naishi DSM napenda naye pia awe anaishi DSM. Asanteni!
Ni PM.
NB: Awe Single, mstaarabu (asiyependa kujishaua) na asiwe na wivu kupindukia.
Natafuta boyfriend aliye serious, awe single, mcheshi, mpole, mstaarabu( asiyependa kujishaua), asiwe na wivu kupindukia, mrefu kiasi( sio saaana), asiwe mnene( awe wa wastani au mwembamba), mweupe au maji ya kunde, Elimu ya Chuo( Degree na kuendelea), awe Mkristo RC, atokee Mikoa ya Mwanza, Arusha au Kilimanjaro (mwenyeji), umri kuanzia miaka 30 hadi 35. Mimi niko single, nina elimu ya Chuo ( Dregree), mrefu wa wastani, niko wastani (si mnene wala si mwembamba), Mkristo RC, mweupe kiasi, mwenyeji wa Kilimanjaro na nina umri wa miaka 28, naishi DSM napenda naye pia awe anaishi DSM. Asanteni!
Ni PM.
NB: Awe Single, mstaarabu (asiyependa kujishaua) na asiwe na wivu kupindukia.
Weka picha tukudhaminishe kwanza!
Mwenyeji wa kilimanjaro, machame au?
Boyfriend ndo nani?
Siku zote, Vigezo ni inversely proposion na umri, we ngoja ufikishe 30 uone kama mavigezo yatabaki hayo hayo
Ni binadamu
kwa tangazo hili tu, wewe ni nung'ayembe na wala huwezi kupata mchumba, utapata watu watakaotaka kukutumia na kukubwagwa kama ulivyobwagwa sana hadi leo unajiuza jf. kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. wachumba wa kuoa hawapatikani jf wanatafutwa kwa kupiga goti kumwomba Mungu, ila wale wa kufanya uasherati na kukubwaga wapo hapa jf.
Uko unaishi na wanyama ..?
Hivyo vigezo duuu we huwezi kuwa mke mwema Bali ww ni dungaembe