kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 454
kila la kheri mungu akuongoze upate mume mwema
Natafuta boyfriend aliye serious, awe single, mcheshi, mpole, mstaarabu( asiyependa kujishaua), asiwe na wivu kupindukia, mrefu kiasi( sio saaana), asiwe mnene( awe wa wastani au mwembamba), mweupe au maji ya kunde, Elimu ya Chuo( Degree na kuendelea), awe Mkristo RC, atokee Mikoa ya Mwanza, Arusha au Kilimanjaro (mwenyeji), umri kuanzia miaka 30 hadi 35. Mimi niko single, nina elimu ya Chuo ( Dregree), mrefu wa wastani, niko wastani (si mnene wala si mwembamba), Mkristo RC, mweupe kiasi, mwenyeji wa Kilimanjaro na nina umri wa miaka 28, naishi DSM napenda naye pia awe anaishi DSM. Asanteni!
Ni PM.
NB: Awe Single, mstaarabu (asiyependa kujishaua) na asiwe na wivu kupindukia.
mmmh, sidhani, labda baadhi
Hata nireach 50, sibebi mizigo isiyobebeka.
mm kuchat katika mitandao huwa muda sina ninakuwa busy wewe nipe number mm nitakutafuta.
timu bamia na matatizMh dada hapa umeumia. Hebu soma tena username ya mdau.
Natafuta boyfriend aliye serious, awe single, mcheshi, mpole, mstaarabu( asiyependa kujishaua), asiwe na wivu kupindukia, mrefu kiasi( sio saaana), asiwe mnene( awe wa wastani au mwembamba), mweupe au maji ya kunde, Elimu ya Chuo( Degree na kuendelea), awe Mkristo RC, atokee Mikoa ya Mwanza, Arusha au Kilimanjaro (mwenyeji), umri kuanzia miaka 30 hadi 35. Mimi niko single, nina elimu ya Chuo ( Dregree), mrefu wa wastani, niko wastani (si mnene wala si mwembamba), Mkristo RC, mweupe kiasi, mwenyeji wa Kilimanjaro na nina umri wa miaka 28, naishi DSM napenda naye pia awe anaishi DSM. Asanteni!
Ni PM.
NB: Awe Single, mstaarabu (asiyependa kujishaua) na asiwe na wivu kupindukia.
teheheheheh, Mkuu mbona umeandika kwq hisia za ndani sana. teh, mwambie na hapo kwenye degree aweke mwenye upper second na kuendelea.KWA MIJISIFA UNAYOITAKA HAKUNA HATA MMOJA UTAYEMPATA HAPA TANZANIA...LABDA UANDIKE NA KIJAPAN NA KIRUSI NA KIFILIPINO.....
KWA KIFUPI HIYO UNAYOHITAJI WEWE NI SPECIAL EDITION...ONGEA NA MUNGUAKUTENGENEZEE YAKO...
HIZI COMMON VERSION OF HUMAN BEING HUWEZI PATA MSTAARABU ALAFU ASIWE MWEUPE NA ASIWE MUISLAM...UMESAHAU USTAARABU UMEANZIA KWA WAARABU NA WENGI WAO NI WEUPE NA 99% NI WAISLAM....
TAFAKARI KISHA BADILI VIGEZO NA VIWE VICHACHE VITAVYOONGEZA WIGO WA WATUMA MAOMBI.
UMESEMA UNATAKA ASIWE MNENE WALA ASIWE MWEMBAMBA...NINI KIGEZO KWAKO CHA UNENE NA WEMBAMBA?...UNATUMIA UZITO KUANZIA KG NGAPI MPAKA NGAPI ILI NIWE MTU UNAYEMUHITAJI......
USIPOKUWA MAKINI KESHO UTAKUJA NA KIGEZO DUSHELELE ISIWE CHINI YA 10 INCHES.....BAADAE UTAKUJA NA KIGEZO ASIWE NA NYWELE ZA KIFUANI...YANI UNACHAGUA MPAKA UNAJICHANGANYA.....
ARGHHHHHHHH....KUMBE UNATAFUTA BOLIFRENDI...NILIJUWA MUMEEEEE...BAI ZE WEI UNA MIAKA 28 UNATAFUTA BOLIFRENDI????....
THERE MIGHT BE SOME LOOSE SCREWS SOMEWHERE UP THERE......NO DOWN THERE UNDER YA PANTS.
NI HAYO TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU........at least i care for now.
No, sitafuti Mume now, natafuta Boyfriend, sikurupuki kusema Mume cause sifiirii kuoana naye so fast, nataka tukae muda wa kutosha kusomana.
Kazee kengine leo ndo kamekumbuka kuolewa
Ningekuwa na kiherehere cha kuolewa, ningeolewa hata before 22, by the way thank God ukoo wetu hatuna nature ya kuzeeka kulingana na umri, mtu anaweza kuwa 45 ukadhani ana 31. Kikubwa kwenye ndoa sio kuvamia tu, watu wengine wanaoana kisa kina fulani wameoana, kama fashion mwisho wa siku hata mwaka hawawezi kuvumiliana, bora uwe single kuliko kuingia kwenye ndoa na mtu msiyewezana vizuri, mwisho wa siku mwaweza pigana hata risasi kama si kuachana na kuwaacha watoto wenu hawana raha na maisha mapya watakayoishi kutokana na nyie kuachana.
Ila nako kuoa mtu mwnye tabia unayoitaka au kuolewa na mtu mwenye tabia unayoita, si kwa kuchagua wala kwa kusubiri. Japo ni bahati tu. Unaeza ngoja sana na bado ukapotea na unaeza chagua sana bado ukapotea vilele.
Better kuchagua ukapotea/ akabadilika later kuliko kuwa na mtu ambaye hana tabia unazotaka ukawa naye tu ilimradi, kama ulichagua angalau hutajilaumu sana, labda pia unaweza mrudisha alivyokuwa mwanzo, tofauti na mwenye tabia zisizokupendeza ni kero mwanzo mwisho, akibadilika kuwa mstaarabu ni bahati.