Natafuta Boyfriend aliye serious

Natafuta Boyfriend aliye serious

Kwa mfano, ni bora uwe single/ uishi maisha yako ya kawaida or uolewe na mtu muishi maisha ya kawaida kuliko kuolewa na mwanaume mfano mfanyabiashara mwenye maisha ya juu ambaye kwenye mambo yake ya kibiashara ni mtu wakudhulumu sana wenzie, huyo hafai, atailetea familia matatizo na kuwaingiza kwenye beef zake na wengine.

Sasa mfano ndo umemchagua akabadilika akawa mtu wa ivo unafanyajee sasa na ndoa ndo imepita
 
Salsa inakuajee Akawa na vigezo vyoote..akapungukiwa ambavyo hujavitaja..labda anachongo..mguu mfupi albino....Dah kweli Siku hizi Watu wanafikilia harusi atakavyovaa na is ndoa na shida zake..najaribu fikiri Nje ya box
 
man friend vip huitaji? maana namezea ila stage ya boy nahisi nimeshapita!
 
Mkuu naona thread closed,tupe mrejesho bwana,28 bado mdogo sana,mie am 31na nimepanga nikikapata ka degree kangu ka kwanza LAZIMA niolewe!!!na hio ni 2018!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom