Sijui hata nikuelezeeje, lakini wazungumzaji wa kiswahili wanaelewa, yaani sipendi mtu anayetafuta attention ya watu kwa kujishow off, kubwatukabwatua, kujifanya yuko juu, kujikweza na kuwaletea wengine majigambo, eg. wahudumu wa migahawa
30yrs mwenyeji wa kilimanjaro,elimu ya chuo 4degree,Natafuta boyfriend aliye serious, awe single, mcheshi, mpole, mstaarabu( asiyependa kujishaua), asiwe na wivu kupindukia, mrefu kiasi( sio saaana), asiwe mnene( awe wa wastani au mwembamba), mweupe au maji ya kunde, Elimu ya Chuo( Degree na kuendelea), awe Mkristo RC, atokee Mikoa ya Mwanza, Arusha au Kilimanjaro (mwenyeji), umri kuanzia miaka 30 hadi 35. Mimi niko single, nina elimu ya Chuo ( Dregree), mrefu wa wastani, niko wastani (si mnene wala si mwembamba), Mkristo RC, mweupe kiasi, mwenyeji wa Kilimanjaro na nina umri wa miaka 28, naishi DSM napenda naye pia awe anaishi DSM. Asanteni!
Ni PM.
NB: Awe Single, mstaarabu (asiyependa kujishaua) na asiwe na wivu kupindukia.
lol, unaogopa nini!
unaweza ukapata zaid ya mmoja af me ukaniacha solemba...
Af pia nikifikiria ad saiv uko single, Kwan tatizo nn?
Natafuta boyfriend aliye serious, awe single, mcheshi, mpole, mstaarabu( asiyependa kujishaua), asiwe na wivu kupindukia, mrefu kiasi( sio saaana), asiwe mnene( awe wa wastani au mwembamba), mweupe au maji ya kunde, Elimu ya Chuo( Degree na kuendelea), awe Mkristo RC, atokee Mikoa ya Mwanza, Arusha au Kilimanjaro (mwenyeji), umri kuanzia miaka 30 hadi 35. Mimi niko single, nina elimu ya Chuo ( Dregree), mrefu wa wastani, niko wastani (si mnene wala si mwembamba), Mkristo RC, mweupe kiasi, mwenyeji wa Kilimanjaro na nina umri wa miaka 28, naishi DSM napenda naye pia awe anaishi DSM. Asanteni!
Ni PM.
NB: Awe Single, mstaarabu (asiyependa kujishaua) na asiwe na wivu kupindukia.
Ana bwawa huyo achana nae, kwani we si team kibamia...?
Whether umekulia porini ama mjini, watu ni wengi, binadamu wachache!
Natafuta boyfriend aliye serious, awe single, mcheshi, mpole, mstaarabu( asiyependa kujishaua), asiwe na wivu kupindukia, mrefu kiasi( sio saaana), asiwe mnene( awe wa wastani au mwembamba), mweupe au maji ya kunde, Elimu ya Chuo( Degree na kuendelea), awe Mkristo RC, atokee Mikoa ya Mwanza, Arusha au Kilimanjaro (mwenyeji), umri kuanzia miaka 30 hadi 35. Mimi niko single, nina elimu ya Chuo ( Dregree), mrefu wa wastani, niko wastani (si mnene wala si mwembamba), Mkristo RC, mweupe kiasi, mwenyeji wa Kilimanjaro na nina umri wa miaka 28, naishi DSM napenda naye pia awe anaishi DSM. Asanteni!
Ni PM.
NB: Awe Single, mstaarabu (asiyependa kujishaua) na asiwe na wivu kupindukia.
Huuuii haya sasa vijana wangu, pigeni tongozo Mpwa wenu nifurahi mbona mnaishia kujikanyagakanyaga tu? Pigeni sound niwasikie vijana wangu kama mko doro njooni PM niwape somo, kha! mnataka mpewe nini? mtu na degree kabisaaaa
Tatizo sio dgree mkuu... hatuto... mbi dgree mtu husika je ananeema za allah vgezo katoa kibao ye anavyo