timu bamia
Senior Member
- Aug 9, 2014
- 154
- 22
Sihitaji kuweka picha njoo tuonane!
tutaonana wapi sasa?.nipatie namba ya simu tawasiliane kesho tuonane na mm nataka kujua na wewe unavyo hivyo vigezo ulivyovisema
Sihitaji kuweka picha njoo tuonane!
tutaonana wapi sasa?.nipatie namba ya simu tawasiliane kesho tuonane na mm nataka kujua na wewe unavyo hivyo vigezo ulivyovisema
Namba yangu haikai kama post hapa
Namba yangu haikai kama post hapa
ok..ni pm unitumie bas
I am 31 still single ila kwenye kadigrii sasa si qualify ila kama hutojali hilo ni pmNatafuta boyfriend aliye serious, awe single, mcheshi, mpole, mstaarabu( asiyependa kujishaua), asiwe na wivu kupindukia, mrefu kiasi( sio saaana), asiwe mnene( awe wa wastani au mwembamba), mweupe au maji ya kunde, Elimu ya Chuo( Degree na kuendelea), awe Mkristo RC, atokee Mikoa ya Mwanza, Arusha au Kilimanjaro (mwenyeji), umri kuanzia miaka 30 hadi 35. Mimi niko single, nina elimu ya Chuo ( Dregree), mrefu wa wastani, niko wastani (si mnene wala si mwembamba), Mkristo RC, mweupe kiasi, mwenyeji wa Kilimanjaro na nina umri wa miaka 28, naishi DSM napenda naye pia awe anaishi DSM. Asanteni!
Ni PM.
NB: Awe Single, mstaarabu (asiyependa kujishaua) na asiwe na wivu kupindukia.
Njoo PM tuongee sio nikutumie namba haraka hivyo, tutachat hata live before hatujaonana physically.
mm kuchat katika mitandao huwa muda sina ninakuwa busy wewe nipe number mm nitakutafuta.
Mh dada hapa umeumia. Hebu soma tena username ya mdau.
mm kuchat katika mitandao huwa muda sina ninakuwa busy wewe nipe number mm nitakutafuta.
Mh dada hapa umeumia. Hebu soma tena username ya mdau.
Pole, but number yangu so soon sitakupa my Dear, uko too busy kuchat kwenye mitandao but humu within few days umejoin umeweza kurusha 61 posts, We ni noma, sijui muda ulitoa wapi!, by the way tafuta mtu anayeweza kukupa namba yake simply kihivyo.
I am 31 still single ila kwenye kadigrii sasa si qualify ila kama hutojali hilo ni pm[/QUOT
Njoo tuongee kwenye PM
I am 31 still single ila kwenye kadigrii sasa si qualify ila kama hutojali hilo ni pm
Natafuta boyfriend aliye serious, awe single, mcheshi, mpole, mstaarabu( asiyependa kujishaua), asiwe na wivu kupindukia, mrefu kiasi( sio saaana), asiwe mnene( awe wa wastani au mwembamba), mweupe au maji ya kunde, Elimu ya Chuo( Degree na kuendelea), awe Mkristo RC, atokee Mikoa ya Mwanza, Arusha au Kilimanjaro (mwenyeji), umri kuanzia miaka 30 hadi 35. Mimi niko single, nina elimu ya Chuo ( Dregree), mrefu wa wastani, niko wastani (si mnene wala si mwembamba), Mkristo RC, mweupe kiasi, mwenyeji wa Kilimanjaro na nina umri wa miaka 28, naishi DSM napenda naye pia awe anaishi DSM. Asanteni!
Ni PM.
NB: Awe Single, mstaarabu (asiyependa kujishaua) na asiwe na wivu kupindukia.
Mh dada hapa umeumia. Hebu soma tena username ya mdau.