Natafuta Boyfriend aliye serious

Natafuta Boyfriend aliye serious

Natafuta boyfriend aliye serious, awe single, mcheshi, mpole, mstaarabu( asiyependa kujishaua), asiwe na wivu kupindukia, mrefu kiasi( sio saaana), asiwe mnene( awe wa wastani au mwembamba), mweupe au maji ya kunde, Elimu ya Chuo( Degree na kuendelea), awe Mkristo RC, atokee Mikoa ya Mwanza, Arusha au Kilimanjaro (mwenyeji), umri kuanzia miaka 30 hadi 35. Mimi niko single, nina elimu ya Chuo ( Dregree), mrefu wa wastani, niko wastani (si mnene wala si mwembamba), Mkristo RC, mweupe kiasi, mwenyeji wa Kilimanjaro na nina umri wa miaka 28, naishi DSM napenda naye pia awe anaishi DSM. Asanteni!


Ni PM.

NB: Awe Single, mstaarabu (asiyependa kujishaua) na asiwe na wivu kupindukia.

Je taraab imo?
 
Duh...uzee huu unanikosesha mwenza hivi hivi...tena mtoto wa nyumbani (Kilimanjaro) kabisa huyu!

Heheheeee....... Jaribu bahati yako... Bi dada anaweza legeza masharti...!!
 
Mchumba hupaswi kuwa hivi bebi


So ulikuwa unanitafuta unione nikoje, I am so cool ukiwa cool kwangu na I am so cruel, ukinijaribu, sipendi upuuzi, heshimu watu, nimekuinsult before, or Wewe just umefeel kuinsult watu, heshimu watu wakuheshimu, na lastly don't baby Me!, Wewe si mstaarabu!, heshimu watu!
 
anaweza kuwa na sifa zote hizo lakini akawa jobless pamoja na degree yake. kipengele cha "kujishughulisha" ni muhimu mama, kuna watu wanatembea na degrees zao kwa briefcase bila kuzifanyia kazi
 
anaweza kuwa na sifa zote hizo lakini akawa jobless pamoja na degree yake. kipengele cha "kujishughulisha" ni muhimu mama, kuna watu wanatembea na degrees zao kwa briefcase bila kuzifanyia kazi


Najua kuna watu weni hawana kazi, but Mi naangalia mawazo yae yakoje, ni mtu ambaye mkisupportiana mnasonga or not, kuna watu wako kazini lakini hawana lolote, akisimamishwa kazi ghafla hajui hata ajaribu nini street
 
Najua kuna watu weni hawana kazi, but Mi naangalia mawazo yae yakoje, ni mtu ambaye mkisupportiana mnasonga or not, kuna watu wako kazini lakini hawana lolote, akisimamishwa kazi ghafla hajui hata ajaribu nini street

nakwambia mdogo wangu kazi au biashara ni muhimu kwa mwanaume....yalinikutaga hayo ya kusapotiana, jamaa akaweka kambi kwangu bila kuwa msaada wowote! all in all, good luck
 
KWA MIJISIFA UNAYOITAKA HAKUNA HATA MMOJA UTAYEMPATA HAPA TANZANIA...LABDA UANDIKE NA KIJAPAN NA KIRUSI NA KIFILIPINO.....

KWA KIFUPI HIYO UNAYOHITAJI WEWE NI SPECIAL EDITION...ONGEA NA MUNGUAKUTENGENEZEE YAKO...

HIZI COMMON VERSION OF HUMAN BEING HUWEZI PATA MSTAARABU ALAFU ASIWE MWEUPE NA ASIWE MUISLAM...UMESAHAU USTAARABU UMEANZIA KWA WAARABU NA WENGI WAO NI WEUPE NA 99% NI WAISLAM....

TAFAKARI KISHA BADILI VIGEZO NA VIWE VICHACHE VITAVYOONGEZA WIGO WA WATUMA MAOMBI.

UMESEMA UNATAKA ASIWE MNENE WALA ASIWE MWEMBAMBA...NINI KIGEZO KWAKO CHA UNENE NA WEMBAMBA?...UNATUMIA UZITO KUANZIA KG NGAPI MPAKA NGAPI ILI NIWE MTU UNAYEMUHITAJI......

USIPOKUWA MAKINI KESHO UTAKUJA NA KIGEZO DUSHELELE ISIWE CHINI YA 10 INCHES.....BAADAE UTAKUJA NA KIGEZO ASIWE NA NYWELE ZA KIFUANI...YANI UNACHAGUA MPAKA UNAJICHANGANYA.....

ARGHHHHHHHH....KUMBE UNATAFUTA BOLIFRENDI...NILIJUWA MUMEEEEE...BAI ZE WEI UNA MIAKA 28 UNATAFUTA BOLIFRENDI????....

THERE MIGHT BE SOME LOOSE SCREWS SOMEWHERE UP THERE......NO DOWN THERE UNDER YA PANTS.

NI HAYO TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU........at least i care for now.

No, sitafuti Mume now, natafuta Boyfriend, sikurupuki kusema Mume cause sifiirii kuoana naye so fast, nataka tukae muda wa kutosha kusomana.
 
nakwambia mdogo wangu kazi au biashara ni muhimu kwa mwanaume....yalinikutaga hayo ya kusapotiana, jamaa akaweka kambi kwangu bila kuwa msaada wowote! all in all, good luck

Asante my Sister, mmmh Mimi suala la kuhamia ninapoishi, hapana, akae tu kwao!, but support nitampa, but walau aonyeshe changes, Asante!
 
Mungu akupe wa kufanana na wewe na mwenye vigezo uvitakavyo,inshallah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom