Natafuta boti ndogo

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,971
10,465
Habari ya asubuhi wadau.

Wapi naweza kupata boti ndogo kwa ajili ya uvuvi mdogo kwa maeneo ya Dar ama Pwani? Unapojibu tafadhali ambatanisha picha na bei elekezi.

Naambatanisha picha za aina ya boti ninayotaka.
1614838801302.png
WhatsApp Image 2021-03-04 at 08.35.12.jpeg
 
Nenda ferry kuna garage wanashulika masuala
Ya maboti pia nenda sleap way sehemu mbili
Unaweza pata connection

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom