Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,606 Reaction score 11,604 Mar 4, 2021 #1 Habari ya asubuhi wadau. Wapi naweza kupata boti ndogo kwa ajili ya uvuvi mdogo kwa maeneo ya Dar ama Pwani? Unapojibu tafadhali ambatanisha picha na bei elekezi. Naambatanisha picha za aina ya boti ninayotaka.
Habari ya asubuhi wadau. Wapi naweza kupata boti ndogo kwa ajili ya uvuvi mdogo kwa maeneo ya Dar ama Pwani? Unapojibu tafadhali ambatanisha picha na bei elekezi. Naambatanisha picha za aina ya boti ninayotaka.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,676 Reaction score 136,282 Mar 6, 2021 #2 Nenda ferry kuna garage wanashulika masuala Ya maboti pia nenda sleap way sehemu mbili Unaweza pata connection Ova Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Nenda ferry kuna garage wanashulika masuala Ya maboti pia nenda sleap way sehemu mbili Unaweza pata connection Ova Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 77,828 Reaction score 164,946 Mar 6, 2021 #3 Hebu cheki na Songoro Marine, ila angalia wasije kukupiga Bei wanazoipiga CCM