Natafuta ajira ya muda au ya kudumu; Nina degree ya Telecom & Computer Networking

Natafuta ajira ya muda au ya kudumu; Nina degree ya Telecom & Computer Networking

Angalau wewe umeweka maelezo vizuri unaonekana unajielewa tofauti na wengine huwa wanakuja kama wamekimbizwa. Nakutakia kila la kheri na usiache kuapply kazi zinazotangazwa Zoom na kwenye mitandao mingine.
Hata hivyo njoo PM unirushie CV yako niicheck nina watu wawili wana kampuni nitawapatia.
 
It &telecom specialist nakushauri peleka CV yako Airtel HQ pale kinondoni morocco wanaweza kukuchukua
Asante kwa ushauri mkuu ila pale huwa napita mara kwa mara na kuna wadau ndani wanasema watu wanapunguzwa sana siku hizi na rate ya kuajiri wapya ni ndogo, hatahivyo naendelea kujaribu hivyohivyo.
 
Angalau wewe umeweka maelezo vizuri unaonekana unajielewa tofauti na wengine huwa wanakuja kama wamekimbizwa. Nakutakia kila la kheri na usiache kuapply kazi zinazotangazwa Zoom na kwenye mitandao mingine.
Hata hivyo njoo PM unirushie CV yako niicheck nina watu wawili wana kampuni nitawapatia.
hajielewi,unapoomba kazi usiseme mambo ya sijui ya una wazazi wanaokutegemea,kwan unadhani huyo unaemuomba kazi ye hana wanaomtegemea?
 
hajielewi,unapoomba kazi usiseme mambo ya sijui ya una wazazi wanaokutegemea,kwan unadhani huyo unaemuomba kazi ye hana wanaomtegemea?
Sijaona alichokosea, we ndio hujielewi. Hata katika interview unaweza kuulizwa maswali machache kuhusu your personal life na hii inamsaidia boss kujua anamuajiri mtu wa aina gani au mwenye background gani. Kusema una mzazi mmoja ndio kutokujielewa? Mbona ameeleza amesoma nini na anaweza kufanya kazi gani ila hivyo hujaviona?? Wabongo kwa kukatishana tamaa hamjambo.
 
AchanaUOTE="Islam005, post: 22285647, member: 12418"]Sijaona alichokosea, we ndio hujielewi. Hata katika interview unaweza kuulizwa maswali machache kuhusu your personal life na hii inamsaidia boss kujua anamuajiri mtu wa aina gani au mwenye background gani. Kusema una mzazi mmoja ndio kutokujielewa? Mbona ameeleza amesoma nini na anaweza kufanya kazi gani ila hivyo hujaviona?? Wabongo kwa kukatishana tamaa hamjambo.[/QUOTE]
Achana naye huyo huwezi juwaaa
 
Habari za muda ndugu zangu, nipo hapa kutafuta ajira ya muda au permanent. Nina degree ya Telecom & Computer Networking na uzoefu wa miaka mitatu. Kampuni ya mwisho kufanyia kazi imepata misukosuko kwenye soko hivyo kupelekea watu kadhaa kupungua(including me).

Nimefanya kazi kama IT Technical Support, IT Officer, na pia nina uzoefu upande wa mauzo(Sales). Nahitaji msaada wenu sana kipindi hiki kwani nina mzazi mmoja anayenitegemea, nipo tayari kufanya kazi popote ndani au nje ya Tanzania.

Kwa maelezo zaidi na documents nipo tayari kuwasilisha zitakapohitajika.
Asanteni.
Pole ndg, Airtel ni kweli sokoni walikuwa hawafanyi poa, mpatie cv huyo member (Islaam005) ni mtaalam atakusaidia. Mungu mbele, utapita tuu.
 
Pole ndg, Airtel ni kweli sokoni walikuwa hawafanyi poa, mpatie cv huyo member (Islaam005) ni mtaalam atakusaidia. Mungu mbele, utapita tuu.
Yes, it's true boss. Thanks for the advice.
 
Sijaona alichokosea, we ndio hujielewi. Hata katika interview unaweza kuulizwa maswali machache kuhusu your personal life na hii inamsaidia boss kujua anamuajiri mtu wa aina gani au mwenye background gani. Kusema una mzazi mmoja ndio kutokujielewa? Mbona ameeleza amesoma nini na anaweza kufanya kazi gani ila hivyo hujaviona?? Wabongo kwa kukatishana tamaa hamjambo.

Daaaaah mkuu sijawahi kukuona katka kuchangia leo ndo mara yangu ya kwanza

By the way ilo jina la islam linanihusu moja kwa moja

Ni zuri mno
 
Back
Top Bottom