Natafuta ajira ya muda au ya kudumu; Nina degree ya Telecom & Computer Networking

Natafuta ajira ya muda au ya kudumu; Nina degree ya Telecom & Computer Networking

Habari zenu kwa mara nyingine wadau, nimerudi tena nikiendelea kutafuta kazi kwani hali ni ngumu mno na ndugu ninayekaa naye amechoka kuniweka mjini. Natafuta hata kibarua tu nipate anagalau chakula wakati ninaendelea kutafuta official job. Ninaweza na nina uzoefu wa kufanya kazi zifuatazo appart from my professional(IT).
-kusimamia biashara; internet cafe, duka, etc
-Mauzo(Sales)
-Data Entry
-Usaidizi kwenye project
-nk
Pia ninaweza kufanya kazi usiku ikihitajika(night shift). Napatikana Dar es salaam lakini nipo tayari kufanya kazi mkoani.

Asanteni. mods naomba msiunganishe huu uzi
Mkuu kila nikisoma hii posti yako inaumiza kweli,

Ila tujiulize, je kwa hali kama hii tunachomokaje?

Assume kazi hazipo je tutatoboaje?

Hata usipokua na majibu sasa ila tujue kwamba....

Tujiulize haya maswali huku tukijua kwanza umri unasonga na magufuli kabana uchumi!!

Nakushauri kama unaweza kwa ujuzi wako pitia hizi links wenda ukapata mawazo mapya...

Upwork, the world's largest online workplace

Hire Freelancers & Find Freelance Jobs Online - Freelancer
 
Maelezo ya jamaa yananipa machungu sana...
Ukzingatia wote tupo katika Profession moja.
Natamani nimuunganishe na boss wangu tatizo ndio kwanza nina miezi 3 toka nipate kanafasi kwenye hii kampuni.
Nausoma kwanza mchezo.
Inaumiza sana kiongozi ila ndio maisha ya Tanzania haya...

Nadhani geek01 atakua amekupata mkuu, ila kwa sababu tayari uko kwenye system popote ikitokea chance mshtue msela wetu...
 
MREJESHO: Wakuu nafurahi kuwaambia kuwa nimepata kazi baada ya takribani miezi 4 ya kukaa mtaani. Kazi hii sio haba sana kamshahara ka zaidi ya 1m, nawapa moyo mnaotafuta kazi msikate tamaa.
Hongera sana mkuu, that's the spirit..hakuna kukata tamaa. Tuzidi kuombeana heri.
 
MREJESHO: Wakuu nafurahi kuwaambia kuwa nimepata kazi baada ya takribani miezi 4 ya kukaa mtaani. Kazi hii sio haba sana kamshahara ka zaidi ya 1m, nawapa moyo mnaotafuta kazi msikate tamaa.
Na wewe ukipata channel usisite kuwatonya wadau wa jamvini, Sio tena unaona mtu anatafuta kazi unaanza kumwambia ooh kwanini asijiajili
 
OK.
tuanzie hapa.

kazi zako huwa ni zipi unapokua ofisini km airtel Pale kwa taaluma yko
 
OK.
tuanzie hapa.

kazi zako huwa ni zipi unapokua ofisini km airtel Pale kwa taaluma yko
Mwenzio anapiga kazi now!
Wew anza mwenyewe hapo.
Ni vizuri kabla ya Ku comment at least pitia hata comments za watu juu juu kujua nin kiliendelea.
 
Mwenzio anipiga kazi now!
Wew anza mwenyewe hapo.
Ni vizuri kabla ya Ku comment at least pitia hata comments za watu juu juu kujua nin kiliendelea.
sa kupiga kazi na kujibu swali ilo kunahusiana nin..
.??
 
sa kupiga kazi na kujibu swali ilo kunahusiana nin..
.??
The way ulivyotoa hiyo comment ni kama unataka kumpa connections baada ya kujua kazi alizokua anazifanya wakati akiwa Airtel.
 
The way ulivyotoa hiyo comment ni kama unataka kumpa connections baada ya kujua kazi alizokua anazifanya wakati akiwa Airtel.
we ndio umewaza ivyo..... usitake kufoc mawazo yafanane....

hautakiwi kuish kwa kukisia....

mi niliuliza kwa lengo la kujua nikipata ajira kazi zinakua zipi mule ofisini.... maana Nina diploma km take afu sina uzoefu
 
OK haina mbaya mkuu!
 
MREJESHO: Wakuu nafurahi kuwaambia kuwa nimepata kazi baada ya takribani miezi 4 ya kukaa mtaani. Kazi hii sio haba sana kamshahara ka zaidi ya 1m, nawapa moyo mnaotafuta kazi msikate tamaa.
Tuambiane mkuu ulipata vipi? itusaidie na sisi tunao hustle... ulipata kwa mdau humu jf au??

Hongera sana kiongozi...atleast inatupa moyo na sisi tuna zunguka mtaan kuna siku mambo yatakaa sawa...
 
Daa hongera sana kijana mimi ninayo degree ya telecom kama wewe huu ni mwaka wa tatu tangia nihitimu chuo na sijafanikiwa kupata kazi
 
Back
Top Bottom