akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,157
Naaam, ningependa kufahamu hiyo sehemu....Kuna sehemu pana nafasi nne za kazi kwenye Telecom
Naaam, ningependa kufahamu hiyo sehemu....Kuna sehemu pana nafasi nne za kazi kwenye Telecom
Harafu wewe urikusanyaga CV za watu ukarara nazo mbere..[emoji23][emoji23]
Asante kwa mrejesho mkuu, wacha tuvute subira kidogoMkuu, Project zili simama palitokea resources reallocation.
Almost the whole Engineering Units walienda Zambia MTN walikua wana lay out the largest Fiber network in Zamb.
Soon nitaleta mrejesho.
Wapi huko mkuu umepataMREJESHO: Wakuu nafurahi kuwaambia kuwa nimepata kazi baada ya takribani miezi 4 ya kukaa mtaani. Kazi hii sio haba sana na mazingira sio mabaya, nawapa moyo mnaotafuta kazi msikate tamaa.