Natafuta ajira ya muda au ya kudumu; Nina degree ya Telecom & Computer Networking

Natafuta ajira ya muda au ya kudumu; Nina degree ya Telecom & Computer Networking

Maisha mtaani magumun sio mchezo
Wenzako wali hack website ya chuo kisa hawana ajira!!

Lakini mkuu kama uko njema kwenye programming kwann usianze kupiga viproject vidogo vidogo maana nna uhakika watu wa tele mnasoma languages za computer!!

Nna uhakika ulisoma micro controllers na una basics za C/C++ anza ku design hata simple programs za kupiga alarm... Za kufungua maji automatic kwa kutumia arduino... (ni mawazo tu mdau)!

Ukishazitengeneza tupia github... Watu wataziona tu... Alafu fanya mitiahan ya bodi zenu kama CISCO etc...

I wish ningekua na degree yako mkuu!!
 
Habari za muda ndugu zangu, nipo hapa kutafuta ajira ya muda au permanent. Nina degree ya Telecom & Computer Networking na uzoefu wa miaka mitatu. Kampuni ya mwisho kufanyia kazi imepata misukosuko kwenye soko hivyo kupelekea watu kadhaa kupungua(including me).

Nimefanya kazi kama IT Technical Support, IT Officer, na pia nina uzoefu upande wa mauzo(Sales). Nahitaji msaada wenu sana kipindi hiki kwani nina mzazi mmoja anayenitegemea, nipo tayari kufanya kazi popote ndani au nje ya Tanzania.

Kwa maelezo zaidi na documents nipo tayari kuwasilisha zitakapohitajika.
Asanteni.

Just to add:
Naweza kuuza duka la vifaa vya IT na pia kutafuta wateja electronically. Pia nipo tayari kwenda mkoani ikihitajika.
Asanteni.
Nimesoma cv yako nimeilewa haswa kwa vile we ni mtu networking kuna kampuni wanaitaji mtalaamu wa fiber optic cable ambae ni compitent .
 
mh! kama aliye na degree anahangaika hv,wenye dip na cheti sjui hali ikoje.
 
mh! kama aliye na degree anahangaika hv,wenye dip na cheti sjui hali ikoje.
katika maisha kila mtu ana bahati haijalishi una cheti,diploma au degree cha msingi muombe tuu mungu wako akufungulie milango

kuna darasa la saba lakini wana maisha mazuli kuliko wenye degree kwa mfano.......

kuna mfano wana elimu ya darasa la saba wako bungeni wanakula milioni 15 kwa mwezi wakati huo huo kuna watu wana degree na diploma wanapiga kazi za customer care mshahara wao kwa mwezi ni laki moja na nusuu
 
Nakuombea sana mkuu Mungu akufungulie njia soon. Naielewa sana hii hali, been there.
 
hajielewi,unapoomba kazi usiseme mambo ya sijui ya una wazazi wanaokutegemea,kwan unadhani huyo unaemuomba kazi ye hana wanaomtegemea?
Siku utakayopata kesi mahakamani utayakumbuka tu hayo maneno ya 'nina wazazi wananitegemea'ndo ndipo hakimu atakuona na ww hujielewi....malipo yapo hapa duniani pia acha kutoa lugha ya maudhi ndg,ulichopewa ww ndo kanyimwa mwingine na sio kwa ujanja wako km inavyodhani.
 
Mkuu sorry...
Wewe ndio yule ulisema una degree ya Telecom na Computer Networking na una experience ya miaka mitatu???
Hakika upepo unabadilika.
Hii Profession 5 years back ilikua hot cake leo hali iko hivi...
 
Aiseee sis ambao tupo mavyuoni munatutisha .....ngoja nibane haka ka bum kangu mtaani sio kuzuri aisee
 
Back
Top Bottom