Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,519
- 167,187
Huyu jamaa alikuwa akinipigia simu kila siku usiku na kutaka nihamie kanisani kwao. Nimemkataza kunipigia, kwa kweli ameacha, lakini namba yangu nahisi kaigawa kanisa zima, maana napigiwa simu hadi na watoto wakinitaka nihamie huko kanisani kwao.
Kwasiku napokea simu zisizo na idadi.
Kwasiku napokea simu zisizo na idadi.