Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

jamani kuna mwenye kuwafahamu hawa wanaojiita THE BOOK OF MORMON maana nna kama miezi miwili wananipiga darasa mpaka nahisi kama navutika nao,nsijeingia choo cha kiume buree
Mormons ni wapinga Kristo fuatilia na utagundua.
 
Mikela,

Mambo mengine ni ya kuyakwepa wala usithubutu kwenda huko. Hizi dini nyingi zina influence ya demonic forces/power kwa hiyo unaweza kuvutika bila kupenda.

Kuwa shahidi wa Yehova hakuna tofauti na kuwa Mormon, Scientologist au SDA- wote wana tatizo na inner core ya Christianity ambayo ni nguvu za YESU...............

Nilikuwa JW nilifikia hatua (cheo/Daraja) la mzee wa mzunguko namshukuru sana Mungu aliyenitoa huko- nilipotea kwa kweli- ACHANA NA JEHOVA WITNESS NI FAKE KAMA ELECTRONICS EQUIPMENT PALE GAME MLIMANI CITY.............
 
Mashahidi wa Yehova hawalazimishi mtu kwenda kwenda kwenye ibada zao au kuwa Mmoja wa waumini wao utaratibu huo haupo kwani kuwa Shahidi wa Yehova na kuhudhuria ibada nilazima ujifunze mambo kadhaa ya msingi kupitia home Bible study na unaweza kuwa na hii home Bible study huku ukiendelea na imani yako na hawata kulazimisha kuacha mpaka hapo wewe utakapokuwa umeweza kutofautisha uliko wewe na upande wa Mashaidi then kwa hiyari yako utachangua ipi ni njia na hiyo ndiyo falsafa yao. Na wao hudeal na wale wanaonyesha interest na belives zao. Sasa ikiwa wanakulazimasha inawezekana wewe ulipendezwa awali ukanza kujifunza sasa inawezekana hupendezwi tena,

NAKUUNGA MKONO SANA KUWAHUSU MASHAHIDI WA YEHOVA. Jaman,tusijudge vibaya km hatuna uhakika na jambo.NO RESEARCH NO RIGHT TO SAY wandugu. Tufanye utafiti wa ndani zaidi kuwahusu Mashaidi wa Yehova,nadhan hiyo itasaidia zaidi. NI MTAZAMO TU!!!
 
Mashahidi Wa Yehova mbona wapo safi tu ndugu ni kama R.C au FPCT tatizo lenu mnapenda kusikia story. Mbona R.C wana husishwa na freemason unajiuliza kwanini?
Kitacho kuokoa ni Imani yako thabiti na kuishi katika neno.
 
Bado najishawishi kwenye eneo hili hapa,nikishawishika mtanikuta huko kwenye jumba la ufalme lamashahidi wa yehova! Kwanza Hakuna moto wa jehanam,pili hakuna mbinguni ila kuna paradiso duniani,Tatu kuna njia mbili tu baada ya kufa,Uzima wa milele au Mauti ya milele(4)hakuna binaadamu anayeweza kumwombea mgonjwa na akapona(5)Damu ni haramu kwa matumizi yoyote yale, ZAIDI ya hapo ni watu wanaothamini sana Elimu hasa sayansi.
 
Mikela,

Mambo mengine ni ya kuyakwepa wala usithubutu kwenda huko. Hizi dini nyingi zina influence ya demonic forces/power kwa hiyo unaweza kuvutika bila kupenda.

Kuwa shahidi wa Yehova hakuna tofauti na kuwa Mormon, Scientologist au SDA- wote wana tatizo na inner core ya Christianity ambayo ni nguvu za YESU...............

Nilikuwa JW nilifikia hatua (cheo/Daraja) la mzee wa mzunguko namshukuru sana Mungu aliyenitoa huko- nilipotea kwa kweli- ACHANA NA JEHOVA WITNESS NI FAKE KAMA ELECTRONICS EQUIPMENT PALE GAME MLIMANI CITY.............

Muongo sana wewe hakuna hicho cheo cha Mzee wa Mzunguko umedesa.
 
Mikela,

Mambo mengine ni ya kuyakwepa wala usithubutu kwenda huko. Hizi dini nyingi zina influence ya demonic forces/power kwa hiyo unaweza kuvutika bila kupenda.

Kuwa shahidi wa Yehova hakuna tofauti na kuwa Mormon, Scientologist au SDA- wote wana tatizo na inner core ya Christianity ambayo ni nguvu za YESU...............

Nilikuwa JW nilifikia hatua (cheo/Daraja) la mzee wa mzunguko namshukuru sana Mungu aliyenitoa huko- nilipotea kwa kweli- ACHANA NA JEHOVA WITNESS NI FAKE KAMA ELECTRONICS EQUIPMENT PALE GAME MLIMANI CITY.............

kumbe mikela alikuwa bujibuji?
 
Last edited by a moderator:
Kaongee na manyota wao mwambie hutaki kusumbuliwa nao watakutoa katika list yao.
 
Mikela,

Mambo mengine ni ya kuyakwepa wala usithubutu kwenda huko. Hizi dini nyingi zina influence ya demonic forces/power kwa hiyo unaweza kuvutika bila kupenda.

Kuwa shahidi wa Yehova hakuna tofauti na kuwa Mormon, Scientologist au SDA- wote wana tatizo na inner core ya Christianity ambayo ni nguvu za YESU...............

Nilikuwa JW nilifikia hatua (cheo/Daraja) la mzee wa mzunguko namshukuru sana Mungu aliyenitoa huko- nilipotea kwa kweli- ACHANA NA JEHOVA WITNESS NI FAKE KAMA ELECTRONICS EQUIPMENT PALE GAME MLIMANI CITY.............

Umesema kweli tupu..
 
Back
Top Bottom