Nasubiri mshahara wa Octoba 2017

Nasubiri mshahara wa Octoba 2017

mkuu kuchelewesha siku 3 tu ishakuwa nongwa. subiri tumkabithi kwanza ofic gavana mpya
 
Pole yenu watumishi bora Mimi mpiga DILI life linasonga na dili zangu
 
Serikali huko nyuma imekuwa ikitoa mishahara ya watumishi wa umma kwenye tarehe 21 kila mwezi lakini mwezi huu imechelewa kutoa mishahara hiyo kutokana na uchumi kuyumba hii ni ishara tosha kuwa nchi yetu imeshuka kiuchumi .
Huu umbea usiokua na maana, hiyo mishahara imechelewa siku ngapi?
Kuna watu hamna kazi za kufanya zaidi ya kufatilia mambo ya kijinga kijinga ili mlete mada jf
 
Hahaha ndiyo maana Mimi nafanya shughuli zangu binafsi.Wewe endelea kusubiri mshahara! Utaisoma namba
wewe kama hauna ajira ya kulipwa mshahara kwa mwezi basi jikalie kimya kama mimi fanya shughuli zako usilazimishe maisha yako wayaishi wao.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom