Nasubiri mshahara wa Octoba 2017

Nasubiri mshahara wa Octoba 2017

Hahaha yule amezoea kutunga hekaya tu, ile Ili kuwa ni hekaya yake mpya ikiwahusu watumishi wa umma!!!
 
We unadhani kila anayekupinga ni ccm?
Sasa ujue tu na ufatilie post zangu mimi sina chama wala sitetei ccm wala sitetei chadema.

Wewe mwenye njaa endelea kutetea wezi wenzako huko ccm na chadema.

Ukiwa mtu huru huwezi kuhangaika na mambo ya kijinga.
Huna jipya
 
Ukiona mtu anaulizia mshahra JF basi ujue kuwa hata kale ka balance kakuchekia salio kwenye Bank account kupitia simu nako kanasoma 0.00
 
Huna jipya
Sasa jipya lako ni kutafuta mambo ya kitoto kama haya?

Kwani huko ccm kwenu au huko chadema kwenu mnalishwa nini mpaka mnakua matahira namna hii?
Hivi ni kweli kwamba hakuna mambo ya kujadili au kuanzisha mada zaidi ya huu utoto wa kuzungumzia mshahara?

Alafu unaweza kukuta nawewe ni mtu mzima na una familia eti

Ooh mishahara imechelewa hii ni ishara serikali imefilisika! We unadhani serikali inafilisika kirahisi namna hiyo? Sasa wakiamua kulipa leo au kesho utaleta mada gani tena kwamba serikali imekua tajiri au

Wakuu JF ni jukwaa kubwa sana tujitahidi kuandika vitu vyenye maana na vyenye uzito, sio huu utoto wa mistari mitano unapost
 
We unadhani kila anayekupinga ni ccm?
Sasa ujue tu na ufatilie post zangu mimi sina chama wala sitetei ccm wala sitetei chadema.

Wewe mwenye njaa endelea kutetea wezi wenzako huko ccm na chadema.

Ukiwa mtu huru huwezi kuhangaika na mambo ya kijinga.
hauko huru.au huna akili.siasa ndio maisha yako ya kila siku.
 
Wewe upo wapi wakati wenzio tayari tumeisha pokea kila kitu!
 
Nafatilia siasa kila dakika tena kila siku lakini huwezi kukuta nahangaika kutetea chama cha siasa.

Ukishakua na chama unakua zuzu tu maana hata chama chako kifanye utumbo we lazima utatetea
sasa usiseme wewe si mwanasiasa bali sema si mwanachama wa chama cha siasa. siasa ndio inaamua maisha yetu hatuwezi kuishi nje ya siasa.
 
sasa usiseme wewe si mwanasiasa bali sema si mwanachama wa chama cha siasa. siasa ndio inaamua maisha yetu hatuwezi kuishi nje ya siasa.
We jamaa unafikiri kwa kutumia masaburi.
Ni wapi nimeandika hilo unalosema?

We endelea na taratibu zako za chama mi chama hakinihusu, siasa ntaendelea kufatilia kwakua mambo ya kila siku yanahusisha siasa.

Ila sitatetea wala kujiunga na chama chochote kwa sababu nahitaji kubaki na akili zangu
 
We unadhani kila anayekupinga ni ccm?
Sasa ujue tu na ufatilie post zangu mimi sina chama wala sitetei ccm wala sitetei chadema.

Wewe mwenye njaa endelea kutetea wezi wenzako huko ccm na chadema.

Ukiwa mtu huru huwezi kuhangaika na mambo ya kijinga.
One of the most stupid.....
 
Njaa yako ndio inakufanya uhangaike na vyama vya siasa

Kuna kiashiria chochote cha "vyama vya siasa" katika post yangu? Usijiandikie tu uharo kama nguchiro 😀😀😀. Watu wanaulizia mshahara wa mwezi wa kumi. Kuna inconsistency inaonekana maana kwa muda mrefu mshahara unaingia mapema. Ghafla mwezi huu, mshahara unaonekana kucheleweshwa.
 
Back
Top Bottom