Nassari sawa, Lema hapana!!

Nassari sawa, Lema hapana!!

hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

basi tukupe wewe ubunge
 
Kama unasema lema hafai je lusinde anafaa? Pia umuhimu wa mbunge wanaujua wapiga kura wake

lema,lusinde,wassira na maji marefu wote hawafai kuwa wabunge lakini nassari ni bomba na ana uwezo mkubwa sana,arumeru mashariki watanufaika sana
 
ni kenge mdogo sana hata hunielezi kitu kwani we mtumwa wa mafisadi na pia ni unakurupuka tuu huna jipya kajipange kwanza ndio urudi endelea kuwatumikia mafisadi na huku ukijua ndugu zako wanateseka we unaridhishwa na hivo viposho unavopewa kati na Mh LEMA na wewe nani mwenye busara!!?kikwete ndio anamjua Mh LEMA ni nani sio kibaraka wewe kakojoe ulale wewe haya maji marefu huyawezi ngoma ya wakubwa watoto kaeni pembeni.pusi wewe!!
hoja haikua na tusi,haikua ya kutetea chama fulani,haikua yenye kashfa...hoja ilizungumzia kiongozi bora na kiongozi asie faa katika chama hicho hicho,lengo halikua kukosoa chama bali kumsifu kiongozi bora wa chama hichohicho na kumkosoa asie faa kutoka chama hicho hicho....lengo lilikua kiongozi bora,sio chama..kiongozi alieshinda kwa kutumia busara na yule alie shinda kwa kutumia kashfaa na kejeli...wasio jua siasa wakageuka kua mzee yusuf!!
Siku zote nimwkuwa na imani kuwa wanaoanzisha thread kama hizi ni mods wanaotaka kuchangamsha jukwaa na kuvuta hisia za wengi...

Lakini thread kama hizi zimekuwa zikipelekea watu wengi kupatiwa adhabu na pia tumeshuhudia matusi na maneno mengine makali yakivuma kila kukicha...

tumeshashuhudia mtu kuanzisha thread then anashindwa kujumuika kutetea au kuijengea hoja thread yake, matokeo yake matusi, jazba na maneno ya laana kutawala thread kama hizo.

Kwa kifupi uongozi ndio unaofanya JF paonekane kama theutamu tu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom