Nassari sawa, Lema hapana!!

Basi wewe nimeisha kujua kuwa una chuki binafsi na LEMA this is the FACT mbona hujawa na chuki na Livingstone Lusinde Mbng wa Mtera-Dodoma?????

Ukitaka kulinganisha IQ za viongozi katika hili la kuwa nani ni mbunge duuuh mkuu ntakushaaangaaa sana au anzisha kipindi cha video clip kama kile cha Kenya NTV every Friday uone politician wa kenya wanavyoteleana uvivu na huakika hicho kikija hapa nchini utajua wanasiasa wa bongo na hizo IQ nadhani utapata tathimini sahihi kesho ijumaa check hii web site Daily Nation:Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports, Blogs, Photos, Videos*- Home alafu check NTV KENYA download kwa hiyo youtube ni kila ijumaaa utapata Bull's-Eye za kenya na hazina matusi sio kama za kina Lusinde

lusinde yupo dodoma mie niko arusha..sijui chuki yangu na lusinde ungeianzisha wewe??kama huyo lusinde angekua hapa arusha,na tunaona anafanya utumbo kwa macho yetu sio kutegemea magazeti na radio...basi kama hakua bora kwetu wana arusha,tusinge ridhika nae!!!..hapa tunaongelea yanayo onekana sio yanayo sikika!!
 
Wewe ni mzigo kweli ndo huna kitu....nahisi umefundishwa kuandika ila hujapewa upeo wa kutafakari ya kuandika...
:shut-mouth:
mie nadhani wewe umepewa uwezo wa kutafakari,ila hujui jinsi ya kutafakari....kama lema alivopewa uwezo ya kuongoza alafu akawa hajui jinsi ya kuongoza!!
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

Tuseme katika wabunge wte umeona Lema tu ndio hafai??
Lema utamlinganisha na Lusinde au Mzee wa Chemba??
Wale wabunge wapiga makofi wako wanaounga mkono kila hoja/uozo unawafananisha na Lema?
Unafikiri ukimuweka Lema upande mmoja na hao "mihuri" wako upande wa pili, halafu kila mtu ahutubie, nani atavuta umati watu?
Personality unaipimaje?
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!
maji marefu ndie anae stahili???uongozi sio elimu wewe mse...nge.huyo jakayaa mbona udokta wake mweupe tu.
 
Kama umepima busara basi kwa kipimo hicho hicho naye Mkapa aliyeanzisha mipasho na kumsengenya Vincent Nyerere hana chembe ya hadhi.
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

nahisi ubongo wako utakuwa na matatizo
 
Limetumwa hili...hebu tuondolee uchuro wako

maji marefu ndie anae stahili???uongozi sio elimu wewe mse...nge.huyo jakayaa mbona udokta wake mweupe tu.[/QUOTE
kipofu zaidi ni yule alie pewa macho yanayoona alafu akawa haoni...mbona kuna sababu nyingi nimetoa ila unaongelea elimu tu?kwa vile lema hana elimu ndo umesahau sababu zingine?lema hana hekima na busara pia,anakaa anamuongelea mwanaume mwenzake eti kamtia mwanamke mimba..anamuonea wivu batilda kwajili ya lowassa au?
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

Vipi Lusinde, Ngonyani na Airo!
 
mbona mamako na babako hawaendani kwanini usianze kwa kumshauri babako amwache mamako pale tuu ulipopata akili mpaka ikawa vile tena?babako ana elimu gani mbona hukumkataa!!we pilipili usioila inakuwashia nini mbunge wa watu wengine we lipi linahusu au unawashwa na ma**ko!!? kayakalishe huko!!kuwa na heshima na kiongozi wa watu aliyeingia madarakani na kura elfu hamsini na........we ni sawa na kenge tuu! na we chukizo kwa wapiga kura wa arusha.
 
wewe ujinga umeupata upande wa bibi yako,alafu upumbavu umeutoa chadema....adam mtu wa kwanza duniani hakua na elimu ila alikua na hekima...lema hana hekima,alafu wewe kama mtumwa wake unae wekewa mafuta ili ukarushe mawe ndo umekua malaya wa hoja!!!..wewe siasa huiwezi,wewe kaa tu nyumbani uwe una tumwa always dukani na mazzaa!!
 
mbona mna panic??chadema wamewafundisha matusi tu,kuhusu hoja mbona hawajawapa tuition???yani wanawakusanya alafu wakisha fika bei ya kununuliwa wana watekeleza...waulizeni wana tlp,nccr na cuf.....mnafanywa makatuni wakati mmesha balee??
 
wewe ujinga umeupata upande wa bibi yako,alafu upumbavu umeutoa chadema....adam mtu wa kwanza duniani hakua na elimu ila alikua na hekima...lema hana hekima,alafu wewe kama mtumwa wake unae wekewa mafuta ili ukarushe mawe ndo umekua malaya wa hoja!!!..wewe siasa huiwezi,wewe kaa tu nyumbani uwe una tumwa always dukani na mazzaa!!
ni kenge mdogo sana hata hunielezi kitu kwani we mtumwa wa mafisadi na pia ni unakurupuka tuu huna jipya kajipange kwanza ndio urudi endelea kuwatumikia mafisadi na huku ukijua ndugu zako wanateseka we unaridhishwa na hivo viposho unavopewa kati na Mh LEMA na wewe nani mwenye busara!!?kikwete ndio anamjua Mh LEMA ni nani sio kibaraka wewe kakojoe ulale wewe haya maji marefu huyawezi ngoma ya wakubwa watoto kaeni pembeni.pusi wewe!!
 
Sifa za sumari ulizitaja kabla ya uchaguzi au baada ya gamba na ww kupigwa chinii??? Unaleta sera za kihafidhina eee!!
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

Mapovu si lazima yatokane na sabuni pekee......yeah ni kweli hata Lusinde, Prof. Maji Marefu wana hadhi ya kuwa wabunge maana shule yao ni kubwa. Walisoma hadi madarasa yakabomoka na walimu wakachomoka.
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

Huo ni mtazamo wake tu, masela msijenge chuki
 
Akitokea mdau ame post jambo la chama fulani (si chadema) wengi uchangia na kuandika maneno yasio na hekima,Lakini swala likiwa la Chadema utaona na kusoma kila aina ya mapambio hata kama jambo si lenye kujenga....
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

Siku zote nimwkuwa na imani kuwa wanaoanzisha thread kama hizi ni mods wanaotaka kuchangamsha jukwaa na kuvuta hisia za wengi...

Lakini thread kama hizi zimekuwa zikipelekea watu wengi kupatiwa adhabu na pia tumeshuhudia matusi na maneno mengine makali yakivuma kila kukicha...

tumeshashuhudia mtu kuanzisha thread then anashindwa kujumuika kutetea au kuijengea hoja thread yake, matokeo yake matusi, jazba na maneno ya laana kutawala thread kama hizo.

Kwa kifupi uongozi ndio unaofanya JF paonekane kama theutamu tu kwa sasa.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom