Nassari sawa, Lema hapana!!

hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

TUMESHAFAHAMU LENGO LAKO NI NINI,JINA LAKO TU LINASADIFU UNACHOLENGA NI NIN,WATU KAMA WEWE HAWAFAI KATKA JAMII HII!,kwa taarifa yako lema ataendelea kuwa mbunge wa A.Town utake usitake magamba type we!.Uwe na hoja za haja na siyo pumba kama hz ulizoweka hapa kwa great thinkes!,shame on you.
 
hasira hasira sana na hawa magamba matusi ya lusinde na wasira sio matusi ila ya lema bila uthibitisho ndio matusi . tunajua manalitaka sana hilo jimbo kwa hila ama kwa shari ila hata chadema wakiweka jiwe litashinda hapo. hikimu anahongwa watu wote wa arsha walijua.
 
siasa ni kutoa sababu,unaposema unamtaka fulani na humtaki fulani basi lazma ujue yupi kafanya nini...unaposema unamtaka lema na sababu huna basi umefilisika kisiasa..hivi mbaka leo hii lema kipi kafanya??zaidi ya kuwatisha watalii kuja katika mji wao walio uzoea wa arusha?hiyo ndo sekta inayo ongoza kuchangia bajeti yetu yeye mbumbumbu anataka kuiua...leo chadema wana watuma vijana ambao ndo tegemezi katika kujenga uchumi wa hii nchii kwenda kufanya fujo na maandamano yasio na kichwa wa miguu,hivi wakitokea majeruhi chadema wana wahudumia kwa matibabu??..hata kama una uchu wa madaraka.basi pita njia yenye kuweza kuwashawishi wenye akili pia,sio kila siku kuungwa mgono na wajinga wenye sinto fahamu nyingi!..
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

Kwani personality maana yake nini?au hujui? Kwako wewe Majimarefu anamzidi Godbless kipersonality?mbumbumbu mkubwa wewe!
 
siasa ni kutoa sababu,unaposema unamtaka fulani na humtaki fulani basi lazma ujue yupi kafanya nini...unaposema unamtaka lema na sababu huna basi umefilisika kisiasa..hivi mbaka leo hii lema kipi kafanya??zaidi ya kuwatisha watalii kuja katika mji wao walio uzoea wa arusha?hiyo ndo sekta inayo ongoza kuchangia bajeti yetu yeye mbumbumbu anataka kuiua...leo chadema wana watuma vijana ambao ndo tegemezi katika kujenga uchumi wa hii nchii kwenda kufanya fujo na maandamano yasio na kichwa wa miguu,hivi wakitokea majeruhi chadema wana wahudumia kwa matibabu??..hata kama una uchu wa madaraka.basi pita njia yenye kuweza kuwashawishi wenye akili pia,sio kila siku kuungwa mgono na wajinga wenye sinto fahamu nyingi!..
we sema utakavyo..... lakini jimbo litarudi CDM tu. mnatupotezea muda tu wa kurudia uchaguzi
 
sisi wenyewe bado maskini tunakua taratibu taratibu,sasa uki waingiza watu wenye njaa mbona hata geita kutabaki kokoto tu!!
 
'Hana hadhi' unamaanisha nini? Kule kwetu Tanga tuna Profesa Maji Marefu ni darasa la saba na ni mganga wa kienyeji lakini ni Mbunge, unaliongeleje hiyo?
 
TUMESHAFAHAMU LENGO LAKO NI NINI,JINA LAKO TU LINASADIFU UNACHOLENGA NI NIN,WATU KAMA WEWE HAWAFAI KATKA JAMII HII!,kwa taarifa yako lema ataendelea kuwa mbunge wa A.Town utake usitake magamba type we!.Uwe na hoja za haja na siyo pumba kama hz ulizoweka hapa kwa great thinkes!,shame on you.
wewe kweli fukara wa siasa,sasa jina na topic yanahusiana?hata kwenye transaction za chadema utakuta walio ingiza shapaa wana majina kama haya..ongelea lengo binafsi sio jina,kama ni jina basi ndo wenye majina kama hayo ndo wanae mlisha huyo lema....acha uabunuasi,tafta elimu wewe!!
 
Watu wamechoshwa na ufisadi, hivyo yeyote anae pigania haki za wananchi anastahili kuwa MP na si haiba wala unayofikiri wewe
 
hakuna anae pingana na haki za wananchi,na hata topic yangu haipingani...sijamkubali lema ila namkubali nassari huo ndo mtazamo wangu mimi..kwani kutomkubali lema ndo kupingana na haki za wananchi???kwani kila mmoja anamtaka lema?unapo ongelea siasa lazma utambue mipaka yako,sio unakua mpiga debe!!
 
'Hana hadhi' unamaanisha nini? Kule kwetu Tanga tuna Profesa Maji Marefu ni darasa la saba na ni mganga wa kienyeji lakini ni Mbunge, unaliongeleje hiyo?

ya maji marefu mie siyajui,ila ninae yajua ni ya lema maana mie sio wa tanga mie wa arusha..sasa kama unayosema ni ya kweli basi una haki ya kumpinga maji marefu!!na kama nikifanikiwa kuyajua ya maji marefu na yakilingana na unae yasema wewe,ndio nitampinga pia maana atakua hana hadhii...kiufupi nimeongelea mambo nilio kua na uhakika nayo!!
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

Maji marefu Lingstone Lusinde wana hadhi ya kuwa wabunge????

Hivi Siasa za CCM wadhani ni za kuleta maendeleo au kuwavuruga wananchi? Au ni wachahche wanataka kuifaidi tanzania wenyewe?

Kwa mfano unaweza sema leo Lema hajaleta maendeleo Arusha au ni serikali ya CCM kuweka sera uchwala na kuwajaza wananchi wa arusha ati Lema kafanya nini? twapaswa kutambua ya kwamba Serikali ya CCM inatuchezea mchezo mchafu na watanzania tumeanza kuwa mambumbumbu.

My Take;

Huko tuendako viongozi waliopo kwenye uongozi huu waombe wafe mapema kwani wakiwa hai watoto wetu watakuja kutufikisha kwenye viti vya pilato kwa upuuzi na ujinga kwa utawala sasa.

QUOTE]hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

LEMA NI BORA KULIKO WASIRA NA LUSINDE.
 
hata kama tuna ushabiki wa vyama,ila ni lazma kuweka maslahi ya nchi mbele kwanza...kama kuna mgombea alie kua na hadhi,elimu,hekima na sifa zote za uongozi,basi hakuna budi ya kumkubali na kuweka ushabiki wa vyama pembeni...kwa hiyo nachosema ni kua godbless lema hana hadhi ya kua mbunge,na personality yake ni dhaifu na kwa upanda wa joshua nassari yeye ana kila kitu cha kupewa nafasi ya uongozi!!

Kwanini hukuyasema maneno haya kabla ya USHINDI wa JOSHUA Nassari Arumeru Mashariki na Pia Kabla mahakama haijatengua UBUNGE wa Lema, Hizi za kwako ni akili za MBUNI kuzika kichwa mchangani ili hali ..............

Wakati wewe unaahagilia uamuzi wa mahakama kutengua UBUNGE wa Lema, CCM wanakuna vichwa maana Arusha litakuwa anguko la AIBU kwa mara ya pili. Tuombe UZIMA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom