Nassari kupelekwa KCMC

mkuu huu uzi hautoshelezi! wewe ndio ulipaswa kutupa habari kamili! jitahidi safari ijayo kuleta post kamili. hata hivyo umeleta taarifa ambayo wakuu wengi tulishaanza kusahau! hongera kwa hilo!
 
Yeyote anayetumia neno 'umama' akilinganisha na udhaifu anatafuta laana au ameshalaaniwa bila kujijua. Hivi anajua ujasiri wa mama!?
Kitu cha kwanza (kati ya vingine vingi) ni kukuweka tumboni mwake kwa miezi 9.
Haya ni maneno tunayookota mitaani na kuyatumia bila kujua madhara yake halafu mambo yasipoenda sawa mtu anadai amerogwa!
Hata kama huna dini, utashi wako utakusaidia kulielewa hili, vinginevyo una kichaa kilichojificha.
Jambo la pili ni kuzaa kwa uchungu mkubwa
 
Bonny Makene are you insane nowdays???

Ningekuwa Insane nisingeingia humu kwa kuficha ID NI KWELI TUMEMTEMBELEA HOSPITALI YA LUTHERAN HAPO ARUSHA na kama ungekuwa na hamu ya kufahamu ukweli na sio kukimbilia kushabikia taarifa kwa kuwa zinagusa unalolipenda bila shaka ungetafuta chanzo cha taarifa kingine kikakueleza vema.
 
Mhe. Joshua Nassari leo amefanyiwa CT - Scan kutokana na kipigo alicho kipata kutoka kwa Green Guard(CCM) mbele ya jeshi la polisi, alipokuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi mdogo kata ya Makuyuni wilayani Monduli..
nassari.JPG
Mhe. Joshua Nassari akiwa Hospitali ya selian - 17/06/2013
nassari2.jpg

 
Get well soon kamanda. Wataumiza mwili tu ila roho hawaiwezi. Shame on CCM na vibaraka wao polisi.
 
Udiwani tu hivi... Uchaguzi mkuu utakuwaje???

Kila jambo linamwisho tu.... Hata kama si 2015 lakini mwisho razima ufike.

Pole nassari.. Mungu ni mwema. Atakupigania daima, mtumaini yeye daima.
Hao waliokutenda nao watakufa tu... Na kuliwa na mchwa.. Kama watu wengine!!
 
Pole sana Mh Nassari. Shame upon MaCCM.....you have stoop so low hadi basi, hivi mkijitazana wenyewe kwenye vioo hamuhisi soni? maana aidha uwe shetani ndio nafsi haitokusuta. Shame
 
napendekeza ikatwe rufaa kupnga uchaguz huo kwan ushahd uko waz maccm hasa lowasa na familia yake wamehuska ktk unyama huo,Mungu akujalie afya njema kamanda upone haraka tuungane tena ktk mapambano.
 
Get well soon kamanda. Wataumiza mwili tu ila roho hawaiwezi. Shame on CCM na vibaraka wao polisi.

Halafu mchonga dili la kupiga watu ndiye huyo anaye jipitisha kuhonga waumini kwenye nyumba za ibada ili awe Rais! Mungu si amchukuwe na kumpeleka panapo stahili wenye dhambi kama hawa!!
 
Allah is great,get well soon kamanda wataua mwili ila roho itaishi na Chadema ni mpango wa Allah kuikomboa Tanganyika...Inshaallah!!
 
Bwana mdogo nassari, as MP your premirly responsibility is to provide guidance to people, sasa umejifanya baunsa, ona sasa, siku nyingine watakuvunja anihiiiiii then what?
 
Acha ujinga na ondoa uchafu wako hapa.
Hospitali ya Selin ndio ipi?
Wewe umuone mgonjwa hospitalini halafu usije kusema ulichokiona ila uje kusema ulichoambiwa na Daktari, unawezekana kweli?

Toka lini Daktari akasema siri za ugonjwa wa mtu kwa mtu yoyote?

Nani alikwambia mgonjwa aliyeumia sana ni yule tu alichubuka au kupata majeraha mwilini? Do you know visceral injury, Intracerebral Haemorrhage, Psychological trauma, Post traumatic Syndrome, Closed Skull Fracture, Joint dislocation, Bone dislocation, Sprain, Intracranial Haemorrhage, Brain Concusion, Brain Contusion etc.
Hope he doesn't data y kasema vile...! Am a dr i don expect any of us to disclose pt's informatin as medical ethics is concerned....
 
Tumetoka kumuona muda si mrefu na kwa maelezo ya daktari anayemtibu katika hopitali ya Selin hana hata mchubuko wala jeraha licha ya kuwa yeye anasema anaumia sana

Kwako wewe kuumia ni mpaka uone jeraha! Sijui watu wengne vipi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom