Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,317
- 82,018
wenzio huwa wanaingia na simu unakwama wapi?Na nitakumiss sana jamani au kwa vile nitakuwa nakuja likizo siyo mbaya
wenzio huwa wanaingia na simu unakwama wapi?Na nitakumiss sana jamani au kwa vile nitakuwa nakuja likizo siyo mbaya
Funguka mkuuKaza mbona rahisi hizo...
Wewe Minaki uingie na simuwenzio huwa wanaingia na simu unakwama wapi?
Umenikumbusha JPM alikuwa anafundisha Chemistry na Mathematics ya A level ujueWakubwa shikamoni aisee ndo kwanza naanza ila madude ni magumu hayagusiki
1.General Chemistry
2.Physical Chemistry
3.Organic Chemistry
4.Inorganic Chemistry
5.Acid,base and salt
Nimejaribu kugusa Aufubau principle naona hata siwezi kuandika electronic configuration, pia Hydrogen spectrum ya Bohr's model(Balmers series,Laymers series,Paschen series, p-fund)
Ukija kwenye quantum orbitals haya maua na xyz coordinates yananichanganya. Nikaona niguse tena organic kwenye principle of showing reactions za benzene napo hapagusiki. Nikajaribu tena Physical kwenye Azeotropic mixture hata siyaelewi. Wadau nyie mlisomaje?
WapiJPM alikuwa anafundisha Chemistry na Mathematics ya A level ujue
Tafuta vitabu sahii usome. Pia masomo ya ziada na notice tofauti tofauti. Nenda stage kwa stage usikurupukie topic zote.Funguka mkuu
duh sijui niliposoma hawaruhusu ila karibu kila mtu anaingia nayo!Wewe Minaki uingie na simu
Hizi sasa ndizo mambo unayotakiwa kufikiria na kujiandaa, siyo kutafuta mishangaziWapi
ThanksHizi sasa ndizo mambo unayotakiwa kufikiria na kujiandaa, siyo kutafuta mishangazi
kamtu bado kananuka maziwa kana ng'ang'ana na mishangaz mwisho kaunguzwe kizazWatoto wa sikuhizi hawana mipaka kabisa kaka!
Ndio kataenda kuishi makao makuu ya azuma katibiwe kwa ukaribu🤣kamtu bado kananuka maziwa kana ng'ang'ana na mishangaz mwisho kaunguzwe kizaz
Shida iko wapiShida hujaelewa unataka nini kijana.
Choose one topic komaa nayo.
Ukielewa unatake another topic.
AU
download app ya eSchool, kule kila kitu kipo notise za uchambuliwe hadi past paper mpaka laboratory tech kwa video
au
AI nayo ipo
Afu kumbe bdo dent advance level afu unatongoza dada zako Seran
Ahsante mkuuPole mkuu soma.
Nimesoma PCB chemistry ndiyo somo sikuwa na wasiwasi kabisa. Yaani ilikuwa kama napumzika kusoma chemistry ..Kwanza ina content ndogo ukilinganisha na hao wababe wawili ( physics& Biology)Wakubwa shikamoni aisee ndo kwanza naanza ila madude ni magumu hayagusiki
1.General Chemistry
2.Physical Chemistry
3.Organic Chemistry
4.Inorganic Chemistry
5.Acid,base and salt
Nimejaribu kugusa Aufubau principle naona hata siwezi kuandika electronic configuration, pia Hydrogen spectrum ya Bohr's model(Balmers series,Laymers series,Paschen series, p-fund)
Ukija kwenye quantum orbitals haya maua na xyz coordinates yananichanganya. Nikaona niguse tena organic kwenye principle of showing reactions za benzene napo hapagusiki. Nikajaribu tena Physical kwenye Azeotropic mixture hata siyaelewi. Wadau nyie mlisomaje?
Mkuu share uzoefuNimesoma PCB chemistry ndiyo somo sikuwa na wasiwasi kabisa. Yaani ilikuwa kama napumzika kusoma chemistry ..Kwanza ina content ndogo ukilinganisha na hao wababe wawili ( physics& Biology)
Nimeshangaa sana huyu jamaa wa wapi? Kwan alisikia Google ana elewa Nini?Kwani madaktar hawaruhusiw kuutumia gugoo, ndo uko kijijini kwenu mnavodanganyana?