Nasomaje Advanced chemistry?

Nasomaje Advanced chemistry?

Nimeona kuna jamaa anajisogeza karibu hapo juu mara sh ngapi
Bro shida Nini? Huyo ni ke kutongozwa ni lazima, inshu ya mi kujisogeza sijakuelewa bro, halafu shingapi Sina mana namnunua la hasha ni utani tu, ndo mana nikamwambia ani bless Kwa huruma, heshima yangu kwake ni kubwa usitake kunichonganisha bro, labda kama unataka vita na Mimi,
 
Bro shida Nini? Huyo ni ke kutongozwa ni lazima, inshu ya mi kujisogeza sijakuelewa bro, halafu shingapi Sina mana namnunua la hasha ni utani tu, ndo mana nikamwambia ani bless Kwa huruma, heshima yangu kwake ni kubwa usitake kunichonganisha bro, labda kama unataka vita na Mimi,
Umeeleka vema kaka
 
Huezi ukapingana na teknolojia hata madaktari siku izi wanatumia technojia ya mitambo kutibu bila kushika popote .
So kijana anapaswa atafte maarifa iwezekanavyo ili aje awe mtaalamu mzuri
Mkuu umenikumbusha juzi kati nilienda Bugando kitengo cha oncology cha ajabu hawa madaktari genZ wakawa wanagoogle ni antibiotic gani inafaa kwa staphyllococus aurelia mwisho wakapata chlorophenicol
 
hapo ,vitabu vya sasa vimefundisha kwa uchache ,kama ndio unaanza tafuta six akufundishe kidgo katika mada unayotaka kujua ,elewa akufundishe (Uliza pale unaposhindwa kuelewa) ,inatakiwa iwe kipande cha mada kisha anzia hapo ulipoachwa nenda kajifunze mwenyewe sasa sikia
1.Tumia Ngaiza au chand lakini josephat mm sishauli nashauli ngaiza kwakua huenda na mtaala wa ndani unavyotaka

2.Kila kitu kina msingi na kila maada kwnye chemistry inamsingi wake nitakupa mifano michache naww ujumuishe kisha utaanza kujifunza kiundi mama cha kila mada
@@Physical chemistry inabasic kwnye
BAM mada ya kwanza ya advance inapaswa uelewe maan inahitaj calculator, reactions questions calculation ni za BAM
@@Organic chemistry msingi wake ni Carbon structure muundo wake ndio unaleta sub-topic kwenye mada hii

Carbon ina four bond matokeo ya hii sifa
Inaleta aina za reactions
@@Inorganic chemistry msingi wake ni radius na charge za element ndio unaweza solve kila swali ukifikiri kwa vitu hivyo viwili
mfano element kuanzia 21 mpka 25 zinaloose electron mpka 7 kwnn
Moja. Radius kubwa ,then charge ninndogo inashindwa kushikilia nje.
@@General chemistry kachimbe naww kwa muongozo wangu huo
 
Dah!
Jamaa kakuanzisha mada ya chemistry kama chemistry, yaani anapima kama element zinaweza kuunganika na kutengeneza covalent bonds
🤣🤣🤣
297BBB4E-5E09-4B77-B9BC-7BD2268000F3.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom