Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,416
- 82,284
Haina maana mbaya, gugoKwani ina maana gani
Haina maana mbaya, gugoKwani ina maana gani
kutongozana kunaanzaga kama utani vile"mzaha mzaha mwisho wa siku usaha unatumbuka" mabaharia huwa siwaelewi hapo tu.Haaaaaaaaaah jamani mi naona ndo imependeza zaidi maana nakuja Dsm huko huko likizo nitakuwa nakuja kwako halafu wewe jifanye shangazi yangu tu kila kitu kitakwisha