Hajui kama wewe masomo yote ni kipanga yaani...
Geographically located
Physically fit
Chemically reacting
Biologically functioning
Hajui kama wewe masomo yote ni kipanga yaani...
Hamia engineeringWakubwa shikamoni aisee ndo kwanza naanza ila madude ni magumu hayagusiki
1.General Chemistry
2.Physical Chemistry
3.Organic Chemistry
4.Inorganic Chemistry
5.Acid,base and salt
Nimejaribu kugusa Aufubau principle naona hata siwezi kuandika electronic configuration, pia Hydrogen spectrum ya Bohr's model(Balmers series,Laymers series,Paschen series, p-fund)
Ukija kwenye quantum orbitals haya maua na xyz coordinates yananichanganya. Nikaona niguse tena organic kwenye principle of showing reactions za benzene napo hapagusiki. Nikajaribu tena Physical kwenye Azeotropic mixture hata siyaelewi. Wadau nyie mlisomaje?
Mathematically calculatedHajui kama wewe masomo yote ni kipanga yaani...
Geographically located
Physically fit
Chemically reacting
Biologically functioning
katasingizia kamerogwa, kumbe kamepita njia ya hormuz kakapgwa mizingaNdio kataenda kuishi makao makuu ya azuma katibiwe kwa ukaribu
Utababuliwa kizazShida iko wapi
Ipo sawa sasa
AI ni rejea ya unachotaka kujifunza kwa njia nyepesi zaidi, suala la mitihani mpaka uitwe dokta kipimo ni mitihani kuona kama ulivyokuwa unajifunza kutoka sources mbalimbali ulivielewa ama laahKwa hali hii si ndo tutazalisha madokta wa gugoo zaidi
😂😂😂Ushauri mzuri sana.Mimi nimesoma hadi form 6 nikaacha shule kwa sababu hakuna ajira. Nikisikia biology sijui chemistry,najihisi kutapika.Achana na elimu ndugu, ingia shambani Kuna Mali
Anza na general ,then organic alafu ndio upigie physical. Soma moja maliza usitake kwenda na zote kwa pamojaWakubwa shikamoni aisee ndo kwanza naanza ila madude ni magumu hayagusiki
1.General Chemistry
2.Physical Chemistry
3.Organic Chemistry
4.Inorganic Chemistry
5.Acid,base and salt
Nimejaribu kugusa Aufubau principle naona hata siwezi kuandika electronic configuration, pia Hydrogen spectrum ya Bohr's model(Balmers series,Laymers series,Paschen series, p-fund)
Ukija kwenye quantum orbitals haya maua na xyz coordinates yananichanganya. Nikaona niguse tena organic kwenye principle of showing reactions za benzene napo hapagusiki. Nikajaribu tena Physical kwenye Azeotropic mixture hata siyaelewi. Wadau nyie mlisomaje?
Namuonea huruma samiaTumia Al kurahisisha na kupata summary notes nzuri
Vichaa wapi tenaNamuonea huruma samia
Anaongoza vichaa
Kuna vichaa wanamuonea wivu Wema sepetu kupata mtoto.Vichaa wapi tena
Haaaaaaaah nipige majungu tu ndugu yanguKuna vichaa wanamuonea wivu Wema sepetu kupata mtoto.
Samia anaongoza vichaa.
Lawful brokenMathematically calculated
Historically remembered
Economically bugdetive
🤣 🤣
Niambie pumpkin
Pumpkin baya bwanaNiambie pumpkin
Basi baki kwenye baba mtakatifu!Pumpkin baya bwana
Kwani ina maana ganiBasi baki kwenye baba mtakatifu!