Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,416
- 82,284
Acha kujaza watu ujinga mzuri umeniona wapi?🙁mzuri umenona kama kondoo wa lebanon 😁😁
Acha kujaza watu ujinga mzuri umeniona wapi?🙁mzuri umenona kama kondoo wa lebanon 😁😁
Kwakuwa amejipima kaona anahimili basi ishi naye kikubwa umshauri apige buti haswa asije kosa boom hapo baadaye akashindwa hata kukunulia skin care.huyu ana kautakatifu fulani hivi eeh? sasa ndio mpaka amalize masomo yake ya sayansi si ntakuwa na wajukuu! aisee ntamuonea tu bure, atatoka na wa kwaeshuleni tu!
Hongera sana.😁😁 safari ya elimu ni ndefu sana mkuu, unajikuta unapita hapa na pale , na bado tunaendelea kulisongesha tulio amua kukipenda kitabu mzee
Kwenye muandiko mkuu 😁😁Acha kujaza watu ujinga mzuri umeniona wapi?🙁
Nilipita pale mwaka 2023 niliona mabanda mengi yamevunjwa vunjwa.zile tuishen za mchikichini bado zipo?
mpaka aje apate hiyo pesa ngozi yangu itakuwa na ganzi haisikii product yoyote isharudi utotoni! 🤣Kwakuwa amejipima kaona anahimili basi ishi naye kikubwa umshauri apige buti haswa asije kosa boom hapo baadaye akashindwa hata kukunulia skin care.
😅😅 kikubwa hela, ila mie bado nakazana mzee mwenzangu baada ya miaka mitatu ndio nitapumzikaHongera sana.
Binafsi shule siitaki tena labda nipate mirija itakayoniforce ili niongeze 💲
Hope ni PHD hiyo mkuu😅😅 kikubwa hela, ila mie bado nakazana mzee mwenzangu baada ya miaka mitatu ndio nitapumzika
we endelea tu, ile siku nimekutania lidem lako limoja likanimind likahisi tunafahamiana likaanza dramaKwenye muandiko mkuu 😁😁
Masikini shemeji katoto naona akikukosa na chemistry ikimkataa ,asipokuja kuomba vitabu vya kiswahili hapa baada ya miezi sita sijui ,huyu ni HKL soon .mpaka aje apate hiyo pesa ngozi yangu itakuwa na ganzi haisikii product yoyote isharudi utotoni! 🤣
Mie sina demu banaaa ebu acha kunipa misala,we endelea tu, ile siku nimekutania lidem lako limoja likanimind likahisi tunafahamiana likaanza drama
Ndio mkuu wanguHope ni PHD hiyo mkuu
All the best.
Mi mwenyewe nilijitiaga kiherehere kwenda kusoma CBG tena private miezi minne mingi nikageuza komwe kurudi arts 🤣Masikini shemeji katoto naona akikukosa na chemistry ikimkataa ,asipokuja kuomba vitabu vya kiswahili hapa baada ya miezi sita sijui ,huyu ni HKL soon .
we mkane! ndio muwe mnanyamaza loh!🤭Mie sina demu banaaa ebu acha kunipa misala,
acha kunisagia kunguni fala wewe 😁😁we mkane! ndio muwe mnanyamaza loh!🤭
Science bwana na walimu wake ni vusanga hapa nchini kwa miaka ya nyuma .Mi mwenyewe nilijitiaga kiherehere kwenda kusoma CBG tena private miezi minne mingi nikageuza komwe kurudi arts 🤣
Today am booked! kesho utatujoin kwenye old school serena! umesahau niliwahi kukutumia hii link sio? na price imepanda nyoko wewe!acha kunisagia kunguni fala wewe 😁😁
Leo tumekubaliana wapi kwanzaa
Naiheshimu sana ChemistryChem tu inakukata makofi..
Physics itakuchoma moto kabisa.
Siku hizi madogo wanayaweza sana! nina madogo wamepiga hizi nashindwa kuelewa mpaka wanawezaje kujisnap na kupost lol! enzi zetu elimu ni vita! sema akomae tu dogo atatoboa! Akishindwa anichek nimpe mdogo wangu kamaliza six juzi anakimbiza vibaya!Science bwana na walimu wake ni vusanga hapa nchini kwa miaka ya nyuma .
Umenikumbusha mbali wakati wa maPCB eti niwe daktari nadhani nilikuwa nimechizi japo watu hawakuelewa maana ilikuwa haipiti juma sijaenda muhimbili hospitali kutembea na vile nilikuwa na rafiki alikuwa anafanya kazi mochwari basi ni kwenda kumuona mara niombe anioneshe maiti eti natafuta maconfidence nikawa naishia kuogopa kulala inabidi nikeshe na wana wa keko tunavuruga wid na kukimbizana na difenda za barracks .
Ni mziki mwingine aisee ,shemeji katoto akaze kwa sasa mambo ni rahisi kiasi chake sio miaka ile picha linaqnza ticha wa phyz naye kama dish limeyumba hivi
Seran bado nakupenda jitunzeSiku hizi madogo wanayaweza sana! nina madogo wamepiga hizi nashindwa kuelewa mpaka wanawezaje kujisnap na kupost lol! enzi zetu elimu ni vita! sema akomae tu dogo atatoboa! Akishindwa anichek nimpe mdogo wangu kamaliza six juzi anakimbiza vibaya!