Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,254
- 81,870
Tapeli kWEnye 1&2Nilianza na organic chemistry , kwa muta mitaa ya ng'ambo miaka hiyo
Tapeli kWEnye 1&2Nilianza na organic chemistry , kwa muta mitaa ya ng'ambo miaka hiyo
😘😘😘Tapele kWEnye 1&2
Nasikitika mchumba bado mwanafunzi anataka nifungwe miaka 30 huyu!
Ahaha Ng'ambo hii ya Mboka (Tbr)?Nilianza na organic chemistry , kwa muta mitaa ya ng'ambo miaka hiyo
Ulisema nilichanganya madesa jana ila mimi nikiuliza juu ya huyu shemeji katotoNasikitika mchumba bado mwanafunzi anataka nifungwe miaka 30 huyu!
Kwani madaktar hawaruhusiw kuutumia gugoo, ndo uko kijijini kwenu mnavodanganyana?Kwa hali hii si ndo tutazalisha madokta wa gugoo zaidi
Mboka manyemaaa hiyo hiyoo, ng'ambo karibia na filta kulikuwa na kota za watumishi wa idara za maji 😅.. Kwa bwana MutaAhaha Ng'ambo hii ya Mboka (Tbr)?
Nilisahau maana viko vingi mno semester hii! 😓Ulisema nilichanganya madesa jana ila mimi nikiuliza juu ya huyu shemeji katoto
Oya subiri subiri kwanza kuchangamke maana hayo maji ya uji ndio kwanza yapo jikoni tia unga mapema usije ukaivisha mabuja, Chuo kikishachangamka utaelewa kila kitu hata usichotaka kuelewa niamini mimi kuna group discussion utakutana na wenzio watakupa mbinu nyingine za kuelewa harakaNimejaribu kugusa Aufubau principle naona hata siwezi kuandika electronic configuration, pia Hydrogen spectrum ya Bohr's model(Balmers series,Laymers series,Paschen series, p-fund)
Ukija kwenye quantum orbitals haya maua na xyz coordinates yananichanganya. Nikaona niguse tena organic kwenye principle of showing reactions za benzene napo hapagusiki. Nikajaribu tena Physical kwenye Azeotropic mixture hata siyaelewi. Wadau nyie mlisomaje?
na ulivyo utafanya kijana aache chuo,.kuushindia utamu gheto 😁Nasikitika mchumba bado mwanafunzi anataka nifungwe miaka 30 huyu!
Bora shemeji katoto yeye ametulia na kitabu hataki shida japo nawaza usipokuwa unalishwa mawe basi utarudi kwa bi mkubwa bila kupenda ila yale mengine sikushauri yanaonekana majambaka tu hata majina yao yaneleza kabisaNilisahau maana viko vingi mno semester hii! 😓
Noma sana nilikuona kwenye uzi Moshi tech,, kumbe mpaka mboka umekatiza .😃, Mboka umamani kwangu kule,, hata A level nilikimbiziwa kule.Mboka manyemaaa hiyo hiyoo, ng'ambo karibia na filta kulikuwa na kota za watumishi wa idara za maji 😅.. Kwa bwana Muta
Nilivyo aje?🤔na ulivyo utafanya kijana aache chuo,.kuushindia utamu gheto 😁
😁😁 safari ya elimu ni ndefu sana mkuu, unajikuta unapita hapa na pale , na bado tunaendelea kulisongesha tulio amua kukipenda kitabu mzeeNoma sana nilikuona kwenye uzi Moshi tech,, kumbe mpaka mboka umekatiza .😃, Mboka umamani kwangu kule,, hata A level nilikimbiziwa kule.
huyu ana kautakatifu fulani hivi eeh? sasa ndio mpaka amalize masomo yake ya sayansi si ntakuwa na wajukuu! aisee ntamuonea tu bure, atatoka na wa kwaeshuleni tu!Bora shemeji katoto yeye ametulia na kitabu hataki shida japo nawaza usipokuwa unalishwa mawe basi utarudi kwa bi mkubwa bila kupenda ila yale mengine sikushauri yanaonekana majambaka tu hata majina yao yaneleza kabisa
mzuri umenona kama kondoo wa lebanon 😁😁Niliyo aje?🤔