Nasinzia nikikuwaza.......!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!

Nasinzia nikikuwaza.......!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!

That's my mumeee,nakupendajee...mwaaaaaaah ya kwenye mdomo baba watoto
Hata asipotambua haibadilishi kitu... Chocs atabaki kuwa mke wangu halali na nampenda sana kwa kuwa ananiheshimu sana na mwaminifu hayumbishwi na ahadi za mashemeji!

Hahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Kazabuti Tonykp waweza shangaa ushemeji umekuwa zaidi, ukaachana na habari za kusinzia ukawa unalala mnono na Chocs

Erickb52 usije ukantia masingi, mie na waza tu ujue hapa wala halitoki moyoni lol!
Hahahahaaa
Shem wala usiwaze...mie ningechukua dk 60 tu kukuhamisha toka ulimwengu ulioko hadi kwenye himaya ya b52 kuziba pengo la. Chocs
 
Last edited by a moderator:
That's my mumeee,nakupendajee...mwaaaaaaah ya kwenye mdomo baba watoto

Thanks loveee!



Mwaaaaah
Nakupenda sana....hope unalijua hilo mke wangu!

Btw nakumiss sana mpenzi wangu.


Naomba leo unipe kauli kuhusu huyu Tonykp ili nichukue hatua pls.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ni kuangukia au kucheza na muktadha wa lugha , dhamiri ikiwa kusanjarisha mintarafu ya kutanabaisha hadhira isikusome tofauti na makusudio .
Aghlabu sana mimi kumrejelea member mara kadhaa kwa nia ya kuweka mambo sawa , sijui wewe umenipa nini .

lugha maridhawa pokea jero. Itakuwa nimekupa nyama ya ulimi tu na si zaidi.
 
Hahahahaaa
Shem wala usiwaze...mie ningechukua dk 60 tu kukuhamisha toka ulimwengu ulioko hadi kwenye himaya ya b52 kuziba pengo la. Chocs

hahahaaa shem lake waza tu kama mimi lisikutoke rohoni maana utaumia
 
Last edited by a moderator:
Tonykp asikubabaishe hata kidogo na maneno yake ya kuunga unga

Mimi ni wako tuuu maisha na umriii
Thanks loveee!



Mwaaaaah
Nakupenda sana....hope unalijua hilo mke wangu!

Btw nakumiss sana mpenzi wangu.


Naomba leo unipe kauli kuhusu huyu Tonykp ili nichukue hatua pls.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom