Natafuta Mtangazaji wa Michezo

Natafuta Mtangazaji wa Michezo

Root root AE

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
217
Reaction score
394
Kwema wakuu.

Natafuta mtangazaji wa media yangu ya online. Media inahusu michezo, hivyo nahitaji mtu wa kunisadia kufanya mahojiano na mashabiki, preview za kabla na baada ya mechi, nk

Media yangu bado changa, lakini licha ya hivyo nitajitahidi mtangazaji asikose hata hela ya majišŸ˜Ž

Kama ni wewe au unamfahamu mtu anayesomea au aliyesomea utangazaji na anapenda michezo kinomanoma naomba tuwasiliane PM.

Asanteni sana!
 
Hela ya maji ndiyo shilingi ngapi? Nyoosha maelezo. Kama huna hela ya kueleweka ya kumlipa huyo mtangazaji, fanya hilo jukumu wewe mwenyewe. Kwa maana bado hujafikia hatua ya kuitwa mwajiri.
 
wataenda kugombana tu kama hana hela ,vifaa vyenyewe usikute ana laptop moja icore 7 na smartphone ya google pixel,anasema ana media
 
Kwema wakuu.

Natafuta mtangazaji wa media yangu ya online. Media inahusu michezo, hivyo nahitaji mtu wa kunisadia kufanya mahojiano na mashabiki, preview za kabla na baada ya mechi, nk

Media yangu bado changa, lakini licha ya hivyo nitajitahidi mtangazaji asikose hata hela ya majišŸ˜Ž

Kama ni wewe au unamfahamu mtu anayesomea au aliyesomea utangazaji na anapenda michezo kinomanoma naomba tuwasiliane PM.

Asanteni sana!
ofc zako ziko wapi ,dogo aje

hela ya chai ndio Nauli ya kuja na kuondoka. chai asubuhi ,lunch mchana na posho ya kazi?
 
wataenda kugombana tu kama hana hela ,vifaa vyenyewe usikute ana laptop moja icore 7 na smartphone ya google pixel,anasema ana media
Kwani mkuu wewe neno MEDIA kwako unalitafsiri vipi? Halafu kuchambua kitu cha mtu hata kabla hujakijua wala kuongea na mhusika hizo ni tabia za kike.
 
Back
Top Bottom