Nasinzia nikikuwaza.......!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!

Nasinzia nikikuwaza.......!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!

Namsikiaga tuu


Punguza mawazo usipate BP Buree
Unamfahamu nameless???huu wimbo naupenda sana na naomba ni dedicate kwa shemeji yangu Chocs kiroho safi kabisa
:dance::dance:
 
Last edited by a moderator:
Yaa my xx large nikakusoma unavyojua kuangukia mwaya. ........amani sana mukubwa.

Ni kuangukia au kucheza na muktadha wa lugha , dhamiri ikiwa kusanjarisha mintarafu ya kutanabaisha hadhira isikusome tofauti na makusudio .
Aghlabu sana mimi kumrejelea member mara kadhaa kwa nia ya kuweka mambo sawa , sijui wewe umenipa nini .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom