Nasinzia nikikuwaza.......!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!

Nasinzia nikikuwaza.......!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!

Nimesafiri nae....sio rahisi kumuacha wife mwenyewe.

Utasafiri nae hadi lini ndg yangu ?
Humuachi kwa kutomuamini , ama humuachi kwa minajili ya kijiko chako hakilali pasipo kukorogeshwa ?
 
Unamfahamu nameless???huu wimbo naupenda sana na naomba ni dedicate kwa shemeji yangu Chocs kiroho safi kabisa
:dance::dance:

chochote utafanya nitafata ukichora saba nitachora nane!..maneno kwa shemeji lol!
 
Last edited by a moderator:
Mh! Hili songi linanikumbusha time ileeeee....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hata asipotambua haibadilishi kitu. Chocs atabaki kuwa mke wangu halali na nampenda sana kwa kuwa ananiheshimu sana na mwaminifu hayumbishwi na ahadi za mashemeji

Hahaha

Post of the day!!
 
Last edited by a moderator:
Kazabuti Tonykp waweza shangaa ushemeji umekuwa zaidi, ukaachana na habari za kusinzia ukawa unalala mnono na Chocs

Erickb52 usije ukantia masingi, mie na waza tu ujue hapa wala halitoki moyoni lol!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom