Bora usinzie kulkko ukose usingizi ukimuwaza shemejio. Lol
Kwani asingemuwaza , akamfikiria na kumkumbuka shemeji lake , ingebadili maana?
Mwenzenu nimezama........
Shemeji unapaswa umkumbuke tu. Hupaswi kumfikiria wala kumuwaza. Weeh vipi banaa?
Afu nimekukosa kweli yaani
Huyu muache aendelee kusinzia na kuota.!