kabisa ila tunatumia mpaka zinaisha....Zikipatikana kama hivi za kujaza kakiroba si itakuwa mwake?
Nashukuru kwa kunikumbusha maana wengine wanasema eti hizi karatasi ni shetani unasahau kila kitu
Tatizo hizi ukiwa nazo nyingi kiburi kingi halafu huyu mtoto mi kanidatisha sio siri ninaweza kumuhonga hata fuko lote
ukizipata hizo usisahau kununua nyumba uachane na kero
Tatizo vijiji ufugaji wao wanauchukulia kama ufahali (prestige) sasa mi mtu wa town hizi karatasi nikizipata nazimaka kisawasawa
Usinchekeshe, muda wote huu huna dollar elfu tisini, japo kama si cash basi hata assets? siamini! Tanzania hii?, ambae omba omba wa kigogo anaacha ng'ombe 160 kijijini huko anakuja kuomba, wewe unaniambia huna 90,000? ajabu sana.
Ardhi yote hii inalimika mwaka mzima unaniambia huna 90,000/=, aaahhhh, nasikitika sana, Mi dhahabu, mi almasi, mi ruby, mi vito ya kila aina, mi bahari, mi ziwa, yaani hapa hata ukikusanya mavi ya ng'ombe ukawa unayauza, 90,000 humalizi hata miaka 3 zinakuwa zako kihalali yako, amma kweli wache wenye macho waje kuzikomba hapa.
Sitanii, nasema kweli, Watanzania uchumi tunao lakini tumeukalia. Mimi nasema Tanzania hii, tena kijana, hata ukiuza juisi tu swaaafi, utatengeneza pesa mpaka useme basi, nimechoka. Yaani ardhi iliyokuwepo, mbegu za miembe ya miaka mitatu inazaa, minazi, michungwa, leo unalalamika 90,000? Pole sana.
Haswaaa, dawa ni kukomaa maana hii kitu bila kuwa nayo jamii inakutenga
ukizipata hizo usisahau kununua nyumba uachane na kero
Haswaaa, dawa ni kukomaa maana hii kitu bila kuwa nayo jamii inakutenga
Angalia usikomae sana mjini ukaingia kwenye majaribio. Kuna njia nyingi sana za halali ambazo zinaweza kukupatia dollar 90,000/= kwa muda mfupi sana.
Hivi huna urithi hata wa nyumba, kiwanja, shamba, ng'ombe, mbuzi Tanzania hii? hata kuku wa kienyeji basi wanakushinda kufuga? ambao maangalizi yao ni myepesi sana na faida ni kubwa sana? na demand iko so high.
Kusema kweli nawashangaa sana Watanzania wanaotaka hesabu zianzie juu, anza kwa kuzalisha kidogo kidogo, kuna kuku wa kienyeji, juisi, embe, mihogo, matunda ambayo kama uko mjini ukiviwekeza shamba huko, unalimbikiza taratibu huku dollar 90,000 sio nyingi kabisa za kuumiza kichwa. Ni kujituma tu.
Mimi nilitowa mfano wa mfanya kazi wangu wa nyumbani ambae anapokea 70,000 alianza kwa 50,000 na sasa ana pikipiki tatu zinamuingizia pesa nzuri tu na sasa ameanza kujenga huko nje ya jiji, kanunuwa kashamba kake ka eka 8, sasa kanamletea fuso mbili za matikiti kila miezi mitatu. Na yeye alifata ushauri mdogo tu niliompa, kuwa asiidharau pesa kwa kuiona ndogo, hiyo hiyo ndogo itazaa kuwa kubwa, na yametimia, na mwaka huu tumekubaliana ataacha kazi kwangu kwani shughuli zake kwa sasa zinahitaji full time work. Ni mfano wa kuigwa.
Wakike au Kiume?
1.Kama wa kike angalia sana labda kulikuwa na nguvu za ziada kutoka kwa baba yaani husband wako
2.Kama wa kiume tunawasiwasi na wewe yawezekana ulikuwa unamwongezea pembeni bila baba kujua...
UTANNNNNNIIIIII
FF ni kweli unayosema na waswahili usema chembe na chembe mkate huwa..
Mlivyokuwa mnaniponda nakuwa jukwaa gani?Mx