Nasikia Bishanga Unapenda Fruit Salad....

Nasikia Bishanga Unapenda Fruit Salad....

Hata mie niko gizani,naona mtoboa sirinalikuwa anatafuta gea ya kumwingia canta binti mtambuzi,shauri lake hamjui rejao,mwache asubuhi akijikuta juu ya mnazi ndo atashika adabu.

Rejao huyu huyu ninaemfahamu aniweke juu ya mti mie mtoboasiri au mwingine?!
 
Itakuwa kweli kabisa kuna wakati alilalamika kudate na mtu mmoja
mara mbili humu jf. mimi nakubaliana na wewe 100%.

nimesikia kuwa huyu jamaa naye ni mod kwa id nyingine, wadau embu nithibitishieni hili.
 
mkuu umechoka kuwa humu jf,
Kongosho anamilikiwa na watu wazito sana hapa jamvini,
sijui kama wewe utakuwa mmoja wao sijui.

Mamndenyi, asante mkuu kwa ushauri. Lakini hao wazito once walikuwa wepesi na hawana guarantee kuwa wataendelea kuwa wazito hivyo hivyo. You never know, standard ya uzito yaweza kubadilika na kuwa wepesi.
 
Back
Top Bottom