Nasikia Bishanga Unapenda Fruit Salad....

Nafikiri ingekua vyema sana kama Mtoboasiri na Bishanga mkatujuza mnaongelea nini hapa

Hata mie niko gizani,naona mtoboa sirinalikuwa anatafuta gea ya kumwingia canta binti mtambuzi,shauri lake hamjui rejao,mwache asubuhi akijikuta juu ya mnazi ndo atashika adabu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom