Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

Nashukuru Mungu sikusoma na kuwa mwalimu

ukweli unauma
Kwa karne hii hakuna mtu mwenye kipato awe na maisha mnayoyadhania hata muuzaji karanga ana maisha mazuri nashangaa kusikia hili juu ya walimu hizi ni akili za kufungiwa ndo maana mtu anakuja na mada kama hii tatizo lenu mnajua vx ndo maisha ilhali hata wenye vx hawana maisha mfikiri nje ya box kufanikiwa ni akili ya mtu sio kada yake
 
Kuwa mpole Mwalimu
Mwalimu uvumilivu umemtoroka.
emoji23.png
 
Mwalimu uvumilivu umemtoroka.
emoji23.png
Mimi sipo kwenye ualimu wala sjasomea Education haya nyinyi msio waalimu ni swala dogo tuonesheni hizo vx !!kwaajira za bongo bado sana hizo gari kumiliki mwajiriwa wa JMT!!
 
Walimu wanastress sana aseee nawaonea huruma sana yaani walimu wenye magari ni walimu wakike tu mfano mzuri ni walimu wa shule ya msingi
Kwa nini wa kike tu, wana shahara mkubwa kwa sababu ya jinsia zao?
 
Mimi sipo kwenye ualimu wala sjasomea Education haya nyinyi msio waalimu ni swala dogo tuonesheni hizo vx !!kwaajira za bongo bado sana hizo gari kumiliki mwajiriwa wa JMT!!

Context sio VX .. Ugumu wa maisha ya waalimu ndicho kinazungumzwa hapa.
 
Umesema unapiga vitempo manake hujawa mwalimu by professional,sasa wew ninan?Mkuu mbn swal rahisi Tu?
Mbona uzi unajieleza nilitaka kuchukua education bahati nzuri brother kaninjenchia nimebadili Course na kusomea mambo ya Afya aya now nipo napiga vitempo tu sina habari japo ajira mzozo.
 
Katika kazi niliyokuwa naipenda kweli kweli basi ni uwalimu, hta pale nilipokuwa nasoma ndoto zangu zilikuwa siku moja nije kuwa mwalimu.

Nilipomaliza tu elimu yangu direct nikaaply education nikachaguliwa.

Kitu ambacho kilinishtua ni kwamba muda ambao nasubiri kwenda chuo nilikuwa kwa brother na bro alivyoniuliza nilimueleza nia yangu ya kusomea uwalimu.

Alinicheki kwa dharau alafu akanizaba kibao kimoja matata na kuniuliza umeshawahi kumuona mwalimu mwenye VX, au ata land cruiser aliyonunua akiwa kazini?

Nikamjibu hapana ?

Akaniuliza tena umeshawahi kumuona mwalimu alieyejenga nyumba ya kueleweka akiwa kazini?

Nikasema hapana.

Akasema basi achana na hilo wazo lako mfu jioni huyo kanipakiza kwenye mgari wake nasema mgari kwa sababu ni gari siyo ki vitz akanipeleka chuo na kuchukua moja kati ya kozi ya afya mukide kabisa.

Japo mpaka leo ajira hazijatoka ila napiga zangu temporary tu kwa wana leo napiga hapa kesho pale siku zinaenda ningesomea uwalimu sijui hiyo temporary ningepigia wapi na wakati sasa hivi elimu bure.
wacha porojo dogo
ticha hapa sina shida na ki ist changu sheli kama kawaida, naishi mjengoni kwangu

so kama huna akili ya maisha hata huko utafeli tu na VX utazisikia tu
 
wacha porojo dogo
ticha hapa sina shida na ki ist changu sheli kama kawaida, naishi mjengoni kwangu

so kama huna akili ya maisha hata huko utafeli tu na VX utazisikia tu
Sawa brother
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom