Hiyoo huwa ni kutokana na,madeni kama unayoo auu hauko sawa kimahusiano hasa marafiki au kusumbuliwa sana..Ukweli saivi niko broke ila the most nahisi naweza pokea bad news
Mkuu sijajua ila mimi kitu kikubwa nilipunguza stress za maishaa nilianza maisha mengine mapyaa. Hadi marafiki nilipunguzaa.Ulishajaribu kutafta suluhisho mkuu tusaidiane
Kwahiyoo una presha hadi saiziDalili za pressure, nilikuwa na hilo tatizo, dr alinishauri nisiweke mlio kwenye simu, ni zaidi ya miaka 3 sijui milio ya simu ikoje, nakasirikaga tu nikiwa kwenye dala dala manake kuna simu za kichina milio yake acha kabisa
Nitoe mimi wasiwasi tu wengine acha nao lakini mwanangu si upo fresh 4G supported or notVimeo vipi mkuu sina mpenz wala madeni.
Mgonjwa kapona hataki dawaThanks mkuu kuzima simu for three days?huo mtihani mkubwa ntajaribu lakini.
Bp inapanda na kushuka,sio kwa jicho mchuzi la mna hiyo.Kwanini baba la baba?
[emoji2][emoji2]Bp inapanda na kushuka,sio kwa jicho mchuzi la mna hiyo.
Nimekupa jina kimbilia kwa Mr. Google.Mkuu hiyo imekaaje napata shida sana
...Una Madeni, kiasi kwamba kila simu yako inapoita unahisi ni Wadeni wako wanakupigia kudai chao??Asalam.
Wakuu tatizo langu nashtuka sana na ringtone ya simu yangu,yaan nikiskia tu imeita mi roho juu nashtuka hadi nahisi naweza kupata cardiac arrest baadae.
Nimejaribu kujikaza kwa muda lakini nimeshindwa,hapa nilipo simu yangu iko silent mode for the last few months lakini hili jambo bado tu linanitesa naweza sikia hata kwa simu ya mtu tofauti na yangu.
Naombeni msaada wenu wakuu nifanye nini kuepuka hili janga mtu unaweza kupotea hivihivi kizembe kabisa.[emoji22]
Sawa mkuu ila uoga unakuja zaidi nahisi naweza kupokea taarifa mbaya.Kuna nilikua nauguza mgonjwa ambaye ni ndugu wa karibu basi kipindi hicho ndo nilipata shida balaa.Nishawahi kupitia hali hiyo kipindi nafanya kazi sehemu flani. Kwa kifupi kazi ile ilikua haina muda saa yoyote unapigisa simu. Ikafikia nyakati nikawa nikisikia simu roho inanipasuka nikijua ni ya kazi au malalamiko flani ya kazi ...
Nilifanya ile kazi miezi 8 nikaamua kuiacha maana nilikua naelekea kupata presha...
So jaribu kuangalia nini unaogopa kwenye simu?
Unadaiwa
Una stress za mapenzi
Kazi
Familia
Uoga wa taarifa mbaya
Then baada ya hapo utapata suluhisho....
Sawa mkuu i think Cha msingi ni ku start over,kubadili mfumo mzima wa maisha.Mkuu sijajua ila mimi kitu kikubwa nilipunguza stress za maishaa nilianza maisha mengine mapyaa. Hadi marafiki nilipunguzaa.
Hadi beer nili stop. Niliacha hata kupokea simu natumia msg mpaka leo.
Tatizo mshazoea ujanja ujanja tu mpaka ikitokea situation Kama hii unajua ni madeni,sina madeni mkuu sidaiwi popote...Una Madeni, kiasi kwamba kila simu yako inapoita unahisi ni Wadeni wako wanakupigia kudai chao??
Sina madeni mkuu...Una Madeni, kiasi kwamba kila simu yako inapoita unahisi ni Wadeni wako wanakupigia kudai chao??