Nashtuka sana nikipigiwa simu.

hudaiwi mkuu?
 
Pepo hilo la hofu, mpe Yesu maisha yako utaona wokovu wake.
 
Tafuta ringtone ya nyimbo unayo ipenda,alafu isiwe nyimbo iliyo changania sana,unaweza hata kuingia waptrick ukatafuta nyimbo ya country nzuri utaona options ukitaka kudownload,chagua ringtones, alafu toa vibration kabisa kama ipo.
 
Sawa mkuu ntajaribu kutafta ringtone ya blues au country music maana hz nyingne nshabadr sana
 
Suffering the same shit...ila nimegungua ni kwa ajili ya kuishi kwa hofu na wasiwasi.
 
Mkuu wewe ni HYPERTENSIVE TAYARI.
Fanya kupima blood pressure,tunza readings zako ikiziwezekana za mara mbili kea siku,kwa muda wa siku tano.
Zikisoma zaidi ya 140/80 mara nyingi,basi kamuone CARDIOLOGIST au Physician.
Usije kupasua mishipa,huenda hata moyo umeshatanuka
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…