Wakuu,ninatumia simu ya nokia 5130,mwanzo ilikua haina shda,bt toka juzi kila nkitaka kuingia jf,inaniambia error,the web u are looking is timed out,so naomba kufahamishwa,ni simu ndo ina matatzo au ni web ya jf ndo ina matatzo.thanx
tatizo sio jf tatizo ni network zenu hasa network ya edge/gprs kwa tanzania ina speed ndogo sana angalia kama simu yako ina 3g enable it am sure hutapata tena hilo tatizo
tatizo sio jf tatizo ni network zenu hasa network ya edge/gprs kwa tanzania ina speed ndogo sana angalia kama simu yako ina 3g enable it am sure hutapata tena hilo tatizo
hata mimi nikitumia opera mini napata tabu sana kuingia. hadi naamua kutumia BOLT. kutakuwa kuna tatizo.hili tatizo limeanza tangu ijumaa iloisha. zamani ilikua fasta lakini sasa hivi unaingia hata mara 7 bila mafanikio. wanakuambia error wakati hiyo hiyo browser unaingia fb, cnn,mjengwa, michuzi, bbc, bila tatizo. kwanini jf tu???. lakini ukifanikiwa kuingia kwenye majukwaa, kupost, kucomment hupati tabu. bila shaka invisible atalifanyia kazi. Mia
Acha kuandika uongo hiyo BOLT browser haipo toka mwaka jana.